G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Nakazia,hakika ni wakati muafaka wa kumuonesha mlango wa kutokea.Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Robertinho ni bonge la kocha tumpe muda [emoji2957]Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Wenzio hawataki papatu papatu, wanataka biriani kama la GamondiMpaka Muda huu hakuna cha Kumhukumu...
NBC kacheza mechi 3,kashinda zote
CAF CL Katinga Makundi......
Ana Unbeaten 26
Inspite ya Majeruhi kadhaa kipindi hiki kama Manula,I Inonga na Kramo.
Nchi ina Waja ambao ni wazito sana...!
Simba imepoteza utambulisho wake....au labda wachezaji wameshachoka ?Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Yaani umempa mwaka mzima bdo umuongeze nini zaidi ya hpo, Simba siyo sehemu ya kufanyia mafunzo.Robertinho ni bonge la kocha tumpe muda [emoji2957]
Kosa kubwa zaidi ni kuendelea kubaki naye, anabwabwaja maneno meeengi, huku ayasemayo timu yake haifanyi kuendana ma maneno yake.Kosa kubwa litakalo igharimu Simba ni kumfukuza huyu mzee.
Hizi takwimu hata kocha angekuwa Mwijaku angekuwa nazo.Mpaka Muda huu hakuna cha Kumhukumu...
NBC kacheza mechi 3,kashinda zote
CAF CL Katinga Makundi......
Ana Unbeaten 26
Inspite ya Majeruhi kadhaa kipindi hiki kama Manula,I Inonga na Kramo.
Nchi ina Waja ambao ni wazito sana...!
Kweli kabisa, kwa kikosi alicho nachoHizi takwimu hata kocha angekuwa Mwijaku angekuwa nazo.
sishabikii simba, ila nilipenda leo ishinde walau tuwe na timu mbili. ila ukweli ulio wazi ni kwamba, robertino anabahatisha, sio kocha mzuri, tunaitaka simba ilee inayotisha.Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!