Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Dunia ilivyoumbwa kuna mamba, kenge na mijusi. Unachoshangaa wewe ni kwa nini mjusi hafanani na mamba? Unataka labda kuna kitu mjusi anaweza fanya nae akawa mamba.
Hayo ni maumbile bro sisi watu weusi genetically tumeumbwa wajinga na dunia hii hatuna mchango wowote wa maana kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kuishi sisi tumeumbwa kuvuruga. Ukijengewa choo bado utakunya pembeni.
Aiseeh changamoto
 
Tatizo ni fikra za kitumwa kwa walio wengi. Nguvu, akili na elimu za kujisogeza kwa kiwango kinachoeleweka zipo.
Hata hivyo, fikra za kitumwa (kuamini na kutegemea wageni), ndilo tatizo la msingi walilo nalo viongozi na wananchi.
Fikra hizo, hasa kwa viongozi, zikiunganika na ubinafsi unaozalisha rushwa, ni balaa kubwa.
Kama hatua za haraka hazitachukuliwa kwa kufanya mapinduzi ya fikra kivitendo (viongozi wachache wanaojielewa na pia wana usalama wanahusika sana hapa), utumwa wa kiuchumi utafikia kiwango kisichovumilika kwa wanaojielewa.
Vizazi vijavyo vitahitaji kujikomboa na watapata ugumu hata baada ya kumwaga damu.
Adui mkubwa wa mwafrika yupo ndani, ni yeye mwenyewe au mwenzake mwenye fikra mbaya za kitumwa.
 
Mtu ni Roho, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mtu Hana RANGI, RANGI Iko kwenye Mwili,

Ingekuwa RANGI ni tatizo, mzungu asingewekewa Damu ya black na kusurvive.

Tatua matatizo Yako, usisingizie RANGI Yako au uafrika wako.
Sawa
 
😅 sasa jibu swali Mondi wako naye ni mjinga?
Unashangaa akili za wafrica wakati umezamia utumwani kuuza sehemu zako kwa wazungu ili ule burger na kupita kwenye mabarabara mazuri watu waloumiza kichwa kuyaplan na kujenga
 
Unashangaa akili za wafrica wakati umezamia utumwani kuuza sehemu zako kwa wazungu ili ule burger na kupita kwenye mabarabara mazuri watu waloumiza kichwa kuyaplan na kujenga

Chief, wazungu walinifukuza nipo zangu Chitipa huku nalima bilimbi.

Naona unakwepa kweli kumuweka bwana'ako Mondi kwenye kundi la waafrika wajinga, akiona kibarua kinaota nyasi 😅 😅
 
Sio udhalilishaji ni ukweli, sisi watu weusi ndio race ya hovyo kuliko zote hapa duniani na hatuna cha maana tulichoifanyia hii dunia zaidi ya kuleta matatizo.
Ngozi nyeusi awe Africa, awe Europa awe Haiti kote anakuwa yule yule mtu kiumbe mjinga asiyejua ustaarabu.
Niambie sisi tuna mchango upi kwenye hii dunia?
Watu weusi dunia kote tuna fanana kwa mambo mengi sana tena mengi ya hovyo
 
Vita uchumi inahitaji umwagaji wa Damu, mapambano yenyew moyo wa dhati na wa kujitolea bila kukata tamaa. Sasa Bara letu hamna hilo.

Tatizo kubwa linaloisumbua Africa ni Ubinafsi na Kwa hakika hii Roho ya Ubinafsi (selfish )siku ikiondoka, Africa tutafanikiwa na tutapiga hatua kubwa sana
Hivyo tatizo letu ni ubinafsi uliopindukia kabisa kuzidi wengine wote
 
Tatizo tuna roho mbaya sana na tamaa za muda mfupi ,wavivu,wabaguzi,wavivu,tunaenda kitonga,wenye wivu na husuda,hatupendi mtu kufanikiwa na ulifanikiwa hupendi mwingine atoboea tunapenda kusifiwa
 
TATIZO NI VIONGOZI WETU.
Maoni yangu: kila raia aruhusiwe kumiriki bunduki ya aina yoyote apendayo bila mashart lazima tutasonga mbele, kwani viongozi hawatategemea kutumia vyombo vya usalama kufanya watakavyo bali watatumia akili kuleta maendeleo ili waendelee kubaki madarakani.
 
system mkuu, nadhan ukoloni ulituadhiri sana, kila chetu tulikiacha, tukaanza kufuata mifumo waliyotupangia wao, bahat mbaya hata baada ya Uhuru, waafrica waliopaswa kutuongoza na kutuvusha ili kuzalisha taifa lenye uwezo wa kuwaza na kutenda mpaka kujitegemea (kama walivyo wachina kwa sasa ) ..... viongozi hao wamekuwa wabaya kuliko wakoloni, wamepandikiza mfumo unauzid kudumaza nguvu na akili hatimaye waafrica tumekuwa useless popote duniani, wachache wanaobahatika kutoboa wanatoboa ila wengi tuko kama sub human.
mfano hai ni serikali ya tanu kisha ccm ambao wanajisifu kutawala milele, kwa miaka 60 ya madarakani na mema yote MUNGU aliyotupa, ila tz bado ina masikini wengi, magonjwa yanatutandika kweli na ujinga ndo umepitiliza tukiongozwa na wapumbavu wanaoitwa CHAWA.
katika mazingira ya kutawaliwa na mifumo hii hata ukizaliwa genius, vikwazo na changamoto za kimifumo utaishia kutafuta elimu ya kuajiriwa au kujiajiri kwa lengo tu la kupata hela ya kujikimu, huwezi kuwa mkubwa zaidi ya hapo unless uko kwenye mfumo... leo kina KIPARA, kina NAPE, kina RIDHIWANI ni ma prince wa nchi...
tungekuwa na mifumo smart tungetoboa kama uchina ila tunafanywa mazezeta kwa manufaa ya watawala.
Lakini mbona matatizo yetu watu weusi yana fanana katika maeneo mbalimbali hata nje ya Tz au hizo factors ulizo zitaja zina husika napo huko nje ya Tz ?
 
Sio udhalilishaji ni ukweli, sisi watu weusi ndio race ya hovyo kuliko zote hapa duniani na hatuna cha maana tulichoifanyia hii dunia zaidi ya kuleta matatizo.
Ngozi nyeusi awe Africa, awe Europa awe Haiti kote anakuwa yule yule mtu kiumbe mjinga asiyejua ustaarabu.
Niambie sisi tuna mchango upi kwenye hii dunia?
Umuhimu kwa kina nani? Sisi ni watu muhimu sana kwenye hii dunia kwa familia zetu. Sijui wewe lakini iwapo huna umuhimu i sawa.
 
Tatizo ni fikra za kitumwa kwa walio wengi. Nguvu, akili na elimu za kujisogeza kwa kiwango kinachoeleweka zipo.
Hata hivyo, fikra za kitumwa (kuamini na kutegemea wageni), ndilo tatizo la msingi walilo nalo viongozi na wananchi.
Fikra hizo, hasa kwa viongozi, zikiunganika na ubinafsi unaozalisha rushwa, ni balaa kubwa.
Kama hatua za haraka hazitachukuliwa kwa kufanya mapinduzi ya fikra kivitendo (viongozi wachache wanaojielewa na pia wana usalama wanahusika sana hapa), utumwa wa kiuchumi utafikia kiwango kisichovumilika kwa wanaojielewa.
Vizazi vijavyo vitahitaji kujikomboa na watapata ugumu hata baada ya kumwaga damu.
Adui mkubwa wa mwafrika yupo ndani, ni yeye mwenyewe au mwenzake mwenye fikra mbaya za kitumwa.
Basi tunazidi kujichimbia kaburi wenyewe huko tuendako sioni kama hata dalili ya kubadilika
 
Kabla ya kuja mkoloni wewe muafrica ulikuwa na nini cha maana zaidi ya kulala kwenye mapango na kitafuna mizizi....kusoma na kuandika kakufundisha mtu mweupe wewe ukuwa na maarifa yoyote hata yaekuunda stuli na meza ulikuwa unakunya porini unajipangusa na majani kama ngedere
Imebidi nicheke tu🙂
 
Back
Top Bottom