Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Nina wasiwasi kati ya race na uwezo wa kifikra vinatofautiana.
Mkuu, hili suala si la race ni la kisiasa na kimfumo. Mtu yoyote akitaka kuwa sehemu ya maendeleo ya dunia katika technolojia, Afya, Jamii, Historia njia nzuri ni kutafuta exposure na kuungana na wengine wenye hizo ndoto walio katika mfumo sahihi. Utashangaa jinsi utakavyofanya mambo mazuri na wewe ni mmakonde.
 
Africa kila kitu siasa, kuanzia kutengeneza vyoo hadi kununua ndege ni siasa, kila kitu kinafanywa kwa interests za vyama na viongozi lakini si kwa maslahi ya wananchi.
 
Ni hivi....
Sisi watu weusi tumezidi kulogana, yaaani aonekane mtu kainuka kidogo tu watamloga, mtoto wa flani saivi yupo juu watamloga,mahospitali mtoto kazaliwa na nyota nzuri wachawi washaiona wanamuua
Maendeleo tutayaonea wapi, tutakua saangapi?
Kwa wenzetu izo pigo za wivu za kulogana logana hamna asilimia kubwa Afrika imeshamiri.
Kingine sisi roho ya kutoa hatuna baraka utazipatia wapi? tuna jilimbikizia mali tu kusaidia wasio na uwezo hatuwezi na nikitu kigumu mno kweli.
Ila angalia wenzetu wakifanikiwa utaona wanavyo saidia watu angalia ma NGO'S yalivyojaa huku Afrika kusaidia watu wenye maisha duni.
We apo unategeme uchumi wa huyu mtu utadumaa? ata kama anamaovu yake lakini atazidi kufanikiwa tu
Ipo siri kubwa katika utoaji na kwetu sisi waafrika iyo silka hatuna.
 
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.

Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.

Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.

Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.

Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.

Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.

Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?

Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Nahisi tunaabudu asiehusika na sie

Hana time na maombi yetu kwani si wa kwetu.

Wakwetu kaamua kutususa
 
Kwanza kabisa hakuna mtu mweusi wala mweupe.

Hiyo ni dhana tu umetengenezewa na watu wanaotaka kukushikia mawazo.

Hao unaowaita weusi wamepata changamoto kuendelea mwanzo kabisa kwa sababu za kimazingira na kiutamaduni.

Sababu za kiutamaduni ni kama kutooenda ku exploit watu wengine. Kiasiki hao unaowaita "watu weusi" ni wajima na wajamaa. Maisha ya kijima na kijamaa uzuri wake ni kwamba watu wanakuwa na hali sawa. Ubaya wake ni kuwa wanakuwa sawa katika umasikini.

Mtu akiongeza kidogo kipato, wanakuja wenzake kibao kumdoea wagawane, wote warudi katika umasikini. Hiki mpaka leo nibtatizo Africa.

Kiutamaduni ingekuwa vigumu sana kwa Waafrika kufanya mambo kama utumwa na ukoloni wa kiwango kilichofanywa na hao "watu weupe". Kwa sababu "mtu mweusi" anaishi kwa hofu ya supernatural forces, Mungu, mizimu, wahenga etc. Naturally, kabla hajawa corruoted, alikuwa ana morals za kuogopa kufanya mabaya kwa kiasi kikubwa.

Kwenye sababu za mazingira, urahisi wa mazao kuota, umbo la bara la Afrika kuwa na coastlone ndogo kulinganisha na hinterland, jangwa la Sahara kufunga njia za biashara na watu kutokuwa na priority yavkujiongeza, wakiweka priority kwenye kuishi maisha rahisi na ya furaha, kumechangia sana.

Sababu hizi zikiongezeka kwa kupikwa kwenye chungu cha muda, zimesababisha tuwe tulipo hapa leo.
 
Vita uchumi inahitaji umwagaji wa Damu, mapambano yenyew moyo wa dhati na wa kujitolea bila kukata tamaa. Sasa Bara letu hamna hilo.

Tatizo kubwa linaloisumbua Africa ni Ubinafsi na Kwa hakika hii Roho ya Ubinafsi (selfish )siku ikiondoka, Africa tutafanikiwa na tutapiga hatua kubwa sana
Tunaogopa sana kufa ndio maana hatuendelei.

Maendeleo hayaji kipumbavu mkuu umeongea point sana.

Sisi ni waoga na tunapenda kujinyenyekeza hata kwenye mambo ya kupambana tunajilizaliza tu.

Tunapenda mambo ya hovyo hovyo hatakama yanatudhalilisha lakini ilimradi kupata tonge, UCHAWA nimfano mzuri wa ujinga wa mtu mweusi.

Ubinasfi nao nikirusi hatari sana kwa maendeleo kuanzia ngazi ya familia na Taifa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kiutamaduni ingekuwa vigumu sana kwa Waafrika kufanya mambo kama utumwa na ukoloni wa kiwango kilichofanywa na hao "watu weupe". Kwa sababu "mtu mweusi" anaishi kwa hofu ya supernatural forces, Mungu, mizimu, wahenga etc. Naturally, kabla hajawa corruoted, alikuwa ana morals za kuogopa kufanya mabaya kwa kiasi kikubwa.
Tamaduni za kuogopa kuwatendea wenzio mabaya wachina wanazo kwa maelfu ya miaka kupitia mwalimu wao alie washape hivyo Confucius.

Ila hio haijaweza kuwa kizuizi kwa wachina kupiga hatua tena wachina naweza sema wana tamaduni nyingi za kuheshimu na kuogopa vitu vingi na watu walio hai hata waliokufa kushinda hata sisi lakini wachina wanapiga hatua kwa speed ya ajabu kupata kutokea
 
Dunia ilivyoumbwa kuna mamba, kenge na mijusi. Unachoshangaa wewe ni kwa nini mjusi hafanani na mamba? Unataka labda kuna kitu mjusi anaweza fanya nae akawa mamba.
Hayo ni maumbile bro sisi watu weusi genetically tumeumbwa wajinga na dunia hii hatuna mchango wowote wa maana kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kuishi sisi tumeumbwa kuvuruga. Ukijengewa choo bado utakunya pembeni.
Hahaaaaaaa duuuu
 
Kama hujakisoma, tafuta kitabu kinaitwa "Guns, Germs and Steel : The Fates of Human Societies" cha muandishi nguli Jared Diamond. Kitabu hiki kilishinda nishani ya Pulitzer. Kitabu hiki kilifanyiwa documentary pia kwa wale wanaopenda documentary zaidi.

Pia tafuta kitabu kinaitwa "Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty".

Wamechambua mambo mengi sana kuhusiana na hizi hoja kuliko nitakavyoweza kuelezea mimi hapa.
 
Kabla ya kuja mkoloni wewe muafrica ulikuwa na nini cha maana zaidi ya kulala kwenye mapango na kitafuna mizizi....kusoma na kuandika kakufundisha mtu mweupe wewe ukuwa na maarifa yoyote hata yaekuunda stuli na meza ulikuwa unakunya porini unajipangusa na majani kama ngedere
Muulize Siro
 
Mkuu, hili suala si la race ni la kisiasa na kimfumo. Mtu yoyote akitaka kuwa sehemu ya maendeleo ya dunia katika technolojia, Afya, Jamii, Historia njia nzuri ni kutafuta exposure na kuungana na wengine wenye hizo ndoto walio katika mfumo sahihi. Utashangaa jinsi utakavyofanya mambo mazuri na wewe ni mmakonde.
So jamii za watu weusi kote duniani zina kosa hicho kitu ?
 
Africa kila kitu siasa, kuanzia kutengeneza vyoo hadi kununua ndege ni siasa, kila kitu kinafanywa kwa interests za vyama na viongozi lakini si kwa maslahi ya wananchi.
So siasa pekee ndio zinatugharimu
 
Back
Top Bottom