Mambo ni mengi ila kwa kuweka kifupi katika mfumo ya nukta ni :
Picha hapa chini kingo za mto mkubwa wa usiokauka mto Siene katika jiji la Paris unaopitisha meli za cruise
Picha hapa chini za kingo za mto mdogo tena wa msimu wa mto Gide kitongoji cha Ubungo jijini Dar es Salaam
Wanafunzi wa kitivo cha uhandisi chuo kikuu tajwa kongwe UDSM kwa kushirikiana na halmashauri ya Ubungo TAMISEMI wangeweza kutumia kodi za wananchi vizuri na wanafunzi wa UDSM kujifunza kwa vitendo kujenga kingo hatimaye majina yao kuingia ktk rekodi kumbukizi tukuka kuwa elimu imewezesha kutatua changamoto katika jamii .
Kifusi cha mchanga uliosombwa toka kingo za mto Msimbazi kikiwa kimechotwa na kuwekwa kando eneo la Jangwani DSM
Picha chini ufukwe wa Ocean Road barabara ya Barrack Obama jijini Dar es Salaam wenye mawimbi makubwa toka bahari ya Hindi yanayotishia kusababisha kumomonyoka kwa ardhi na barabara pembezoni mwa bahari ukiimarishwa na kunakishiwa vibaraza vya kutembelea
- Ulemavu wa kushindwa kufikiri, ulemavu wa kuhoji,
- ulemavu wa kutafuta suluhisho la jambo,
- ulemavu wa kutegemea hisani / fadhila,
- ulemavu wa kudhani matatizo yetu yatatatuliwa na wageni kutoka mabara ulaya, Mashariki ya kati, Marekani ya Kaskazini na Mashariki ya Mbali
- na mwisho ulemavu wa kulilia kupendwa na wageni wa mabara mageni hapo juu.
- Tutaweza kukubali maandamano kupinga uonevu, ukandamizaji na anasa za watawala
- Sheria na katiba sahihi
- N.k