Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Maafrica hasa matanzania ni hovyo tu.Nadhani ipo laana ndani yake
 
Biashara yenye faida kubwa haiendani na maadili

Hapo inabidi waTanzania wafahamu kuwa hakuna cha rafiki wala mjomba mgeni wala nini katika kujiletea maendeleo.

Ni kujipenda kwanza sisi wenyewe na kuwa hakuna mwingine atakayetupenda huo ndio ukweli ya dunia hii, hivyo tuache kulilia tupendwe na watu wa ma bara mengine, tuchape kazi.
 
Kwa Dunia ya sasa ni ngumu sana races nyengine ukiondoa watu weusi kuzipeleka utumwani na katika ukoloni lakini amini nakuambia ni rahisi sana watu weusi kurudishwa tena utumwani na katika ukoloni sisi ni dhaifu sana katika kila sekta.
Mkuu kama leo ikija meli hapo na kuwaambia pandeni mnapelekwa Ulaya
Tena wakaambiwa mnachukuliwa kama watumwa bila mnyororo wala fimbo
Wataingia wengi sana
 
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.

Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.

Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.

Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.

Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.

Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.

Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?

Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Ukishaelewa tofauti kati ya harmony na equality bhasi hilo haliwezi kukusumbua,maana kama unaamini tuliumbwa, na aliyetuumba yupo basi yeye ni wa harmony na siyo wa equality kama tunavyotamani kuwa
 
Kutokuwa na consistency.

Ova
 
So jamii za watu weusi kote duniani zina kosa hicho kitu ?
Watu weusi wamefanya mambo makubwa katika jamii ya mwanadamu. Ukumbuke kufanya na kupromotiwa kuwa umefanya mambo makubwa ni mambo mawili tofauti.

Katika teknolojia ya leo, ukichunguza katika key players usishange kukutana na ngozi nyeusi.

Huko NASA kuna big brains ambazo ni ngozi nyeusi, inasemekana wakati dunia inapambana na vyombo kutoka nje ya dunia kwa mafanikio kuna blacks tena wanawake walikuwa key players.

Kuna big brains kutoka Africa katika vyuo vikubwa duniani na nina reference ya mmoja ambaye ametoka huku kwetu ila sasa Marekani nadhani imempa uraia yupo huko kwenye maswala ya sayansi anapambana.

Wapo watu weusi kwenye ubunifu wa Magari, kwenye masuala makubwa kama nuclear yaani ngozi nyeusi ipo kila sehemu isipokuwa kwenye nchi zao.

Angalia kwenye soka, vilabu vingi vyenye mafanikio vina mtu mweusi anazipigania ila wakirudi kwenye timu za taifa hata nusu fainali hatufiki.

NB: CHUKULIA NGOZI NYEUSI KAMA WACHAGA/WAKINGA. WANAPAMBANA KUJENGA MIJI HUKO NJE HASWA DAR ILA KWAO PA KAWAIDA SANA.
 
UDOM vyoo vimejaa kinyesi na hao ndio wasomi
Na Mkuu wa chuo hana tofauti nao
 
Watu weusi wanaoishi marekani ndio walijazana magerezani wale ni watu wa hovyo kupindukia

Unaandika kama vile "watu weusi" wa Marekani wameachiwa tu waendelee wanavyotaka.

"Watu weusi" wa Marekani wana historia ndefu iliyo complicated. Naona mara nyingi kuwalaumu bila nuance ni "blaming the victim".

Kuna mfumo ulikaa rasmi kukandamiza watu weusi wowote watakaoanza kuendelea pamoja kama kundi la watu Marekani.

Kuna "watu weusi" waligundua mafuta huko Tulsa Oklahoma, wazungu wabaguzi wakaja kuwawekea nongwa na kuwaharibia biashara zao.

Sasa hao nao utasema ni wa ovyo?

Kuna kina Martin Luther King Jr. na Malcolm X walikuwa wanapigania haki za watu weusi, wakauliwa. Hao nao utasema ni watu wa ovyo?

Sisemi kwamba hakuna "watu weusi" wa ovyo, hao wapo kila sehemu. Tatizo tukija kwa weusi tuna generalize sana.

Soma historia ya Tulsa race massacre.

Hapo inabidi waTanzania wafahamu kuwa hakuna cha rafiki wala mjomba mgeni wala nini katika kujiletea maendeleo.

Ni kujipenda kwanza sisi wenyewe na kuwa hakuna mwingine atakayetupenda huo ndio ukweli ya dunia hii, hivyo tuache kulilia tupendwe na watu wa ma bara mengine, tuchape kazi.
Na hata kwenye Watanzania pia, kila mtu ni lazima azalishe kwa mujibu wa uwezo wake. Hakuna kutegemea mjomba.
 
Unaangalia chumi kutoka kwa relativistic lens.

China kaanza kugundua mabaruti na marisasi na ma silaha, mashine za kuandika miaka mingi sana kabla ya Ulaya.

Kwa hivyo, China ndiye alitakiwa kutawala dunia nzima, yani unavyoona huu ufalme wa Uingereza na Marekani katika biashara ya dunia, kama China asingekuwa na hizo qualms, China ndiye alitakiwa awe kinara wao wote hao kiuchumi. Na dunia nzima badala ya kuongea Kiingerwza tungekuwa tunaongea Kichina.

Kwanza wao wengi, pili wana utamaduni mrefu wa ugunduzi na teknolojia.

Ila, utamaduni wa maadili yao ya kutoingilia watu wa nje ndio uliowaharibia nafasi ya kuongoza biashara.

Yani wao waliijua njia ya biashara kabla ya wazungu, wakaja Africa wakachukua wanyama, wakapeleka China. Halafu Mfalme wao akapiga stop watu kutoka nje.

Yani hayo mafanikio ya China unayoyaona leo ukiyapigia mahesabu yalivyotakiwa kuwa kama wasingekuwa na hayo maadili ya Confucianism, yalitakiwa kuwa mara nyingi sana kupita mafanikio yao ya leo.

Na hata hayo mafanikio yao ya leo unayaangalia kwa udogo tu, kama nilivyosema awali, kiuchumi China haijaifikia hata Seychelles kwenye GDP per capita.

Tuongee namba, si hisia.

Kuna wachumi wanakwambia kama hujafikisha GDP per capita ya $25,000 bado nchi yako ni kati ya nchi zinazoendelea, si zilizoendelea.

IMF bado inaiita China an "emergind and developing country" as opposed to "developed country".

China alikuwa na chumi kubwa sana dunia na kumiliki biashara sehemu kubwa ya dunia kipindi cha Tang dynasty, Song , Han hizo ni dynasties za haraka nazo zikumbuka .

China imecollapse chini ya Qing dynasty so China sasa ina bounce back kurudi kwenye level zake.

Fikra za mchina na mzungu ni tofauti katika dhana ya kutawala na ndio maana China na ukubwa wake wote aliokuwa nao kale hakuona umuhimu wa yeye kwenda duniani kuzunguka kumiliki makoloni bali aliona umuhimu wa kufanya biashara na ndio hayo masuala ya silk road.

Wachina wanafikra za tofauti sana na hata leo wakiitwaa dunia kiuchumi tena haitakuwa jambo jepesi wao kuact kama wafanyavyo wazungu kuhusu siasa za kidunia na muelekeo wake kwa kujihusisha na migogoro mbalimbali na siasa za mataifa mbalimbali.

Vile vile China alivyotenda kabla ndivyo hivyo hivyo atakavyo ushikiria uchumi wa dunia kwa miaka ijayao hii foundation ya culture isiyo badilishwa kirahisi.

Dunia sio lazima uitawale kisiasa tu hata kiuchumi ni silaha muhimu pia ya kuitawala duniani na ndipo huko wachina wanapo jizatiti siku zote toka kale usitegemee sana wao kubadilika.
 
Tatizo la Afrika ni viongozi. Wengi ni wabinafsi kupindukia hawana maono yoyote ya kukwamua nchi zao ndiyo maana hakuna kinachofanikiwa kusini mwa jangwa la sahara
Unafikiri hili ni tatizo la viongozi pekee
 
Ukishaelewa tofauti kati ya harmony na equality bhasi hilo haliwezi kukusumbua,maana kama unaamini tuliumbwa, na aliyetuumba yupo basi yeye ni wa harmony na siyo wa equality kama tunavyotamani kuwa
Vipi kwa wale ambao hawaamini habari za huyo muumbaji ?
 
Dunia ilivyoumbwa kuna mamba, kenge na mijusi. Unachoshangaa wewe ni kwa nini mjusi hafanani na mamba? Unataka labda kuna kitu mjusi anaweza fanya nae akawa mamba.
Hayo ni maumbile bro sisi watu weusi genetically tumeumbwa wajinga na dunia hii hatuna mchango wowote wa maana kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kuishi sisi tumeumbwa kuvuruga. Ukijengewa choo bado utakunya pembeni.
🤣🤣🤣 ningesoma hii wakat nipo saiti nabeba tofari, tofar lingevunja kichwa changu
 
Back
Top Bottom