Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
OKWatanzania wanaoishi abroad hakuna cha maana wanachofanya zaid ya kupuyanga hawana tofauti na wanaoisha hapa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OKWatanzania wanaoishi abroad hakuna cha maana wanachofanya zaid ya kupuyanga hawana tofauti na wanaoisha hapa Tanzania
Dah!Je una uhakika kwamba sisi ni watu? Tuanzie hapo kwanza
Poor intelligence thinking!!Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.
Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.
Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.
Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.
Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?
Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Sasa kama hujajiumba na hautaki kuamini kwamba uliumbwa hamna shida wala unakaa ivyoivyoVipi kwa wale ambao hawaamini habari za huyo muumbaji ?
Umemaliza mkuu, tukiweza kulikabili hilo, mambo yatakwenda kwa kasi sana.Ubinafsi ndo tatizo la MTU mweusi
Maendeleo sio utamaduni wetuMimi huwa naumia sana kuona hivi jinsi sisi tulivyo.
Nitikatazama hawa wanao onekana wenzetu jinsi waliyo katika mambo yao na walipo huwa naumizwa sana na hali zetu.
Sometimes huwa nahisi hivi sisi tuna laaana tumelaanika huko miaka ya nyuma au laaah ! Maana mimi siielewi kabisa ndugu zangu ni kipi kinacho tusibu sisi.
Je, mfumo wa kitumwa sisi ndio tuna uweza kutumikishwa kama watumwa ndio njia inayo tufaa sisi kuliko njia nyingine zote ?
Mbona damu inamwagwa sana na bado hollahVita uchumi inahitaji umwagaji wa Damu, mapambano yenyew moyo wa dhati na wa kujitolea bila kukata tamaa. Sasa Bara letu hamna hilo.
Tatizo kubwa linaloisumbua Africa ni Ubinafsi na Kwa hakika hii Roho ya Ubinafsi (selfish )siku ikiondoka, Africa tutafanikiwa na tutapiga hatua kubwa sana
Maisha rahisi Africa unaishi popote TU hata kwa matundaporiUvivu, wivu, Iman potofu elimu n janga ubinafsi
lakini alichoandika ni ukweli mtupu....mtu mweusi ni kiumbe cha ajabuHuu ni udhalilishaji wa mtu mweusi
nadhani kweli mada ingeanzi hapa....waafrica weusi nao ni watu?.....🤔🤔Je una uhakika kwamba sisi ni watu? Tuanzie hapo kwanza
Tatizo lenu ni kwamba weusi wa ngozi mmeuhamishia akilini.Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.
Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.
Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.
Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.
Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?
Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Hamna kitu Kama kuumbwa wajinga...wote ni species moja ..acha uwongoDunia ilivyoumbwa kuna mamba, kenge na mijusi. Unachoshangaa wewe ni kwa nini mjusi hafanani na mamba? Unataka labda kuna kitu mjusi anaweza fanya nae akawa mamba.
Hayo ni maumbile bro sisi watu weusi genetically tumeumbwa wajinga na dunia hii hatuna mchango wowote wa maana kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kuishi sisi tumeumbwa kuvuruga. Ukijengewa choo bado utakunya pembeni.