Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #161
Zama ? Mbona hizo zama zisiwe kwa wachina ambao always wao ni great ni kipindi kifupi sana wamezama katika unyonge na sifikiri kama watarudia makosa yao tena.Zama tu. Hata zamani wazungu walikuwa wanajiuliza hivi sisi watu weupe tuna shida gani.
Hao wazungu ni wakubwa kwa maelfu ya miaka toka walipo shika usukuani hawajaachia.
Sisi tumewekwa utumwani na kwenye ukoloni kwa zaidi ya miaka 500 sisi ni wanyonge kwa miaka mingi sana kuliko jamii yoyote ile na hatuoneshi dalili ya kutoka katika unyonge huo.
Wewe leo hii nikuulize ipi ni jamii rahisi zaidi kuikoloni na kuiweka utumwani kwa sasa kati ya Jamii yetu na wajapan, wachina na waasia wengine ?