Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Utafanya mambo bila mipango!!? Si ndiyo maana tupo tulivyo sababu ya kukurupukia vya duniaTuki, tuki, tuki, kila siku ni tuki, tuki unafikiri dunia ina tusubiri ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafanya mambo bila mipango!!? Si ndiyo maana tupo tulivyo sababu ya kukurupukia vya duniaTuki, tuki, tuki, kila siku ni tuki, tuki unafikiri dunia ina tusubiri ?
Hiyo mipango iko wapi au ndio muendelezo wa "tuki" ?Utafanya mambo bila mipango!!? Si ndiyo maana tupo tulivyo sababu ya kukurupukia vya dunia
Haijafanywa ndiyo maana tupo hivi tulivyo. Lakini kama unaifahamu historia vizuri utatambua kuwa watu weusi wanaweza kupanga mipango mikubwa na kuifanya. Kama huifahamu utaishia kuja na majibu mepesi juu ya hali duni yetu.Hiyo mipango iko wapi au ndio muendelezo wa "tuki" ?
Tatizo hamuelewi kuwa bado mnatawaliwa. Mlipewa uhuru wa bendera tu, hamkupewa uhuru wa fikra.Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.
Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.
Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.
Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.
Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?
Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Hii kauli siipendi ila Ina maanaKila jambo na wakati wake
Ni nani awajibike zaidi katika kuondoa huo ujingaTatizo hamuelewi kuwa bado mnatawaliwa. Mlipewa uhuru wa bendera tu, hamkupewa uhuru wa fikra.
Mmejazwa ujinga kwa miaka mingi (brain washed), ujinga umewajaa na utachukuwa muda mrefu sana kuufuta.
Tatzo lilianza naHuu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.
Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.
Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.
Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.
Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?
Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Ina leta maanaTatzo lilianza na
1.geographia
Location ya bara la africa ina sapot uvivu/kutokujishuhulisha/kuishi natural na kutohitaj sana technolojia
Wenzetu ambao walitangulia mfano wazungu wao bila kujishuhulisha huwez survive .utakufa kwa barid,na nchi zao kipind cha karibia miez 8 ya mwaka hakisurpot kilimo vzur.so walihitaj akil ya ziada kusurvive.
Pia kutokana na hali hzo mbaya za rutuba na hal ya hewa ndomana wameuana sana ,kutgombea ardhi na unafuu wa barid..vita ikafanya wawe na discipline na kuogopana na kuamua kuwa civilized.
Sis hal ya hewa nzur hujuhitaj mbolea..species zote za wanyama na matunda na mboga ziko africa sababu hal ya hewa ina surpot hayo...unaweza usiwe na nyumba na ukalala porin mwaka mzima..ulaya na kwengne huwez barid ltakuua..so wenzetu akil zilichaj mapema...na hapo ndipo wakatupiga gap..
From there wakaanza tafuta maeneo extra ya kilimo etc na maliasili ndio wakatukuta sie huku..kwa style hiyo waliambukiza uchakarikaj maeneo mengi kadiri unavyoshuka toka north kuja south na ndomana ukichek raman ya dunia utajir mkubwa unaanzia north kuja chin..kadir unavyokuja kwenye ikweta ndio umaskin unaongezeka..
Ni jiografia tu kaka.
Kweli wewe ni ndonger .. unashighulisha ndonga sana kaka mkubwa.. mazingira yametufanya tubwetekeTatzo lilianza na
1.geographia
Location ya bara la africa ina sapot uvivu/kutokujishuhulisha/kuishi natural na kutohitaj sana technolojia
Wenzetu ambao walitangulia mfano wazungu wao bila kujishuhulisha huwez survive .utakufa kwa barid,na nchi zao kipind cha karibia miez 8 ya mwaka hakisurpot kilimo vzur.so walihitaj akil ya ziada kusurvive.
Pia kutokana na hali hzo mbaya za rutuba na hal ya hewa ndomana wameuana sana ,kutgombea ardhi na unafuu wa barid..vita ikafanya wawe na discipline na kuogopana na kuamua kuwa civilized.
Sis hal ya hewa nzur hujuhitaj mbolea..species zote za wanyama na matunda na mboga ziko africa sababu hal ya hewa ina surpot hayo...unaweza usiwe na nyumba na ukalala porin mwaka mzima..ulaya na kwengne huwez barid ltakuua..so wenzetu akil zilichaj mapema...na hapo ndipo wakatupiga gap..
From there wakaanza tafuta maeneo extra ya kilimo etc na maliasili ndio wakatukuta sie huku..kwa style hiyo waliambukiza uchakarikaj maeneo mengi kadiri unavyoshuka toka north kuja south na ndomana ukichek raman ya dunia utajir mkubwa unaanzia north kuja chin..kadir unavyokuja kwenye ikweta ndio umaskin unaongezeka..
Ni jiografia tu kaka.
Alooo punguza spidi ya mdomo wako maaana kila mmoja anasema yakwake ka naaamini baraka acha niamini kinakuudhi nini haswa.? Na wewe ka unaamini katika kupambana kupata maendeleo pambana tu. Me hayo ma NGO's yakiwa na secret agenda zao hazinihusu na focus katika positive ndio maaana nikatoa mfano huo. So na wewe jitahidi kuja na hoja yako kueleza kinacho mfanya muafrika kutoendelea na sio kuja kuparamia koment za watu kwa mihemko yako. Sipendi ligi za kipuuzi zisizo na maana.Wewe ndo mfano wa Waafrica ambayo ni makopo.....mpaka leo unaamini Baraka kwenye maendeleo, serious?.....hayo ma NGO's unayoyaongelea unajua kazi yake?.. au mpaka tukuambie kuwa ni madili haramu ya watu,?.... waafrica mutaendelea kuwa wamwisho kama mutaendelea na maimani ya kipuuzi kuhusu maendeleo....
huo ndo upumbavu wako mwafrika original,...hongera sana mpuuzi ambaye unaamini Baraka kwenye maendeleo na sio kujittuma,..na misaada ya NGO'S za wazungu ni roho nzuri...umejaza kinyesi kichwani....Alooo punguza spidi ya mdomo wako maaana kila mmoja anasema yakwake ka naaamini baraka acha niamini kinakuudhi nini haswa.? Na wewe ka unaamini katika kupambana kupata maendeleo pambana tu. Me hayo ma NGO's yakiwa na secret agenda zao hazinihusu na focus katika positive ndio maaana nikatoa mfano huo. So na wewe jitahidi kuja na hoja yako kueleza kinacho mfanya muafrika kutoendelea na sio kuja kuparamia koment za watu kwa mihemko yako. Sipendi ligi za kipuuzi zisizo na maana.
Huna hoja naona we umeona NGO's tu. Ka unashida nazo n wewe kosoa hoja yangu na si vipengele. Idiothuo ndo upumbavu wako mwafrika original,...hongera sana mpuuzi ambaye unaamini Baraka kwenye maendeleo na sio kujittuma,..na misaada ya NGO'S za wazungu ni roho nzuri...umejaza kinyesi kichwani...
Hili nalo ni moja ya matatizo yanayoturudisha nyuma [emoji38][emoji38][emoji38]Je una uhakika kwamba sisi ni watu? Tuanzie hapo kwanza
Dah umeuliza swali gumu ambalo majibu yake yanaweza yasikubalike hata ueleze vipi. Kuna wasomi kadhaa ambao wametoa nadharia zao kuhusu why baadhi wapo mbele wakati wengine wameshindwa (wasome hawa: Adam Smith (1723–90) vs Karl Marx (1818–1883).Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.
Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.
Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.
Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.
Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?
Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Kabla ya kukuuzia alikufundisha kusoma.Kabla ya kuja mkoloni wewe muafrica ulikuwa na nini cha maana zaidi ya kulala kwenye mapango na kitafuna mizizi....kusoma na kuandika kakufundisha mtu mweupe wewe ukuwa na maarifa yoyote hata yaekuunda stuli na meza ulikuwa unakunya porini unajipangusa na majani kama ngedere
Ubinafsi huwa mnamaanishaga nini labda mimi sielewi naomba kueleweshwa.Ubinafsi ndo tatizo la MTU mweusi
leo umeongea point sanaDunia ilivyoumbwa kuna mamba, kenge na mijusi. Unachoshangaa wewe ni kwa nini mjusi hafanani na mamba? Unataka labda kuna kitu mjusi anaweza fanya nae akawa mamba.
Hayo ni maumbile bro sisi watu weusi genetically tumeumbwa wajinga na dunia hii hatuna mchango wowote wa maana kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kuishi sisi tumeumbwa kuvuruga. Ukijengewa choo bado utakunya pembeni.