Wabongo bana. Badala uhangaike na tozo unahangaika na viongozi hawa mabilionea wenye hela za kula wao, watoto wao, wajukuu, vilembwe mpaka vizazi hata 10 vijavyo bila kufanya kazi. Leo unahangaika eti nao wakisafiri waende na The Beast na Air Force One zao kama Biden. Mi ningependa hata wakija huku nyumbani wapande mabasi au Rav4 na siyo hii misafara ya mavieite ghali zaidi ya 80....😬😬😬