Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Umeandika ujinga mtupu, unataka mtu anayekupa misaada umpangie? tafuteni pesa kama mnataka kuheshimika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari maana yake ni usafiri tu sio zaidi ya hivyo ! Mengine ni mbwembwe tu ambazo hazina faida yeyote !!Wabongo bana. Badala uhangaike na tozo unahangaika na viongozi hawa mabilionea wenye hela za kula wao, watoto wao, wajukuu, vilembwe mpaka vizazi hata 10 vijavyo bila kufanya kazi. Leo unahangaika eti nao wakisafiri waende na The Beast na Air Force One zao kama Biden. Mi ningependa hata wakija huku nyumbani wapande mabasi au Rav4 na siyo hii misafara ya mavieite ghali zaidi ya 80....😬😬😬
Ni kweli mtu anayekupa misaada huwezi kumpangia !Umeandika ujinga mtupu, unataka mtu anayekupa misaada umpangie? tafuteni pesa kama mnataka kuheshimika
Subiri arudi huku bibi ushungi atakavyopokelewa kifaulme kama ametoka mbinguniNi kweli mtu anayekupa misaada huwezi kumpangia !
Duh !Subiri arudi huku bibi ushungi atakavyopokelewa kifaulme kama ametoka mbinguni