Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

Wabongo bana. Badala uhangaike na tozo unahangaika na viongozi hawa mabilionea wenye hela za kula wao, watoto wao, wajukuu, vilembwe mpaka vizazi hata 10 vijavyo bila kufanya kazi. Leo unahangaika eti nao wakisafiri waende na The Beast na Air Force One zao kama Biden. Mi ningependa hata wakija huku nyumbani wapande mabasi au Rav4 na siyo hii misafara ya mavieite ghali zaidi ya 80....😬😬😬
Magari maana yake ni usafiri tu sio zaidi ya hivyo ! Mengine ni mbwembwe tu ambazo hazina faida yeyote !!
 
Raisi ni mwajiriwa wa wananchi unataka awe special Ili iweje. Wenzetu uongozi ni wito kwetu uongozi ni ajira. Thus hawana ubunifu unajiita vipi kiongozi huku watu wako wanachakaa kwa ufukara, na usingizi unapata kabisa kweli?
 
Back
Top Bottom