Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

programmer wapo ila maisha yao ni ya njaa sio kwa ajili programmer inataka
 
Mafuta ya Upako hupewi formula yanatengenezwa vipi Ile ni Biashara jiulize huyo docta kaambukiza wangapi hio taaluma yake zaidi ya kubakia nayo mwenyewe?
 
Ulichoandika kina ukweli maana utakuta Kitengo kizima cha TEHAMA kwenye Taasisi hakuna hata Mtaalam mmoja anayejua masuala ya Coding. Hii sio kwa Taasisi za Serikali tu hata Sekta Binafsi.
 
simu ikiharibika utaletewa wewe

tv, radio wewe

utaulizwa unaweza kuhack CRDB uibe shilingi moja moja kwa kila mtu?

au unawezaje kupata bando bila kulipia?

kama hujui basi wewe wa mch
Hivyo vitu vidogo sana! Ebu nenda college of informatics hapo UDOM kaulize mtu akiitimu kwa mfano bachelor of science in information systems na akaweza kujiajir au kuajiriwa pesa anayoingiza kwa mwez ni kiasi gani? Tia maji sana ni around 2.5m na hapo ni yeye na pc yake ya 300k

Halafu hizo story za kuhack bank achana-nazo nazo! Bank huwa wanatumia mainframe computer ni ngumu mno kuihack.
 
Hakuna kitu pale Mlimani
 
Ulichoandika kina ukweli maana utakuta Kitengo kizima cha TEHAMA kwenye Taasisi hakuna hata Mtaalam mmoja anayejua masuala ya Coding. Hii sio kwa Taasisi za Serikali tu hata Sekta Binafsi.
Kuna Dr. mmoja COICT ya UDSM pale kijitonyama alisomea nje hiyo Doctorate lakini program zake nyingi nikiziangalia alicopy na kupaste anachokifanya ni ku_customise! Tunataka mtu wa kutengeneza kitu from scratch na akaweza kuishi kwa soko! Sio hawa wanaoishi kwa mshahara na kutuongopea kwa matheories!
 
Kiongozi, Programming watu wanaikimbia sana kutokana na ugumu wake. Katika Taasisi zilizo nyingi wanatumia Wataalam kutoka nje ya Taasisi wanapokuwa na issue za kutengeneza mifumo(Systems Development) .
 
Mbona wapo? tangaza Project tu au weka prize based on project, unafikiri nchi yenye watu 69M+ inaweza kosa vijana wenye uwezo?
Mimi ni najua ninachokisema! Dau kubwa la nini? Ili waende wakatangaze nje na kupata hela ya kuwalipa na kuja kuniongopea wametengeneza wao?
 
Angalia mtaala, utakupa vision kuwa hawa ni practical oriented au theory oriented. Vyuo vikuu vikubwa vina offer theory oriented tu (si vyote) halaf techical college ndio wanapigwa practical
Hii mitaala inatakiwa irekebishwe else wasomi wetu watapata taabu kuajirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…