Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi si tunapenda kulaumu tu, ku take action sisi binafsi aah-aahWewe umetengeneza nini?
Kama hawajui hiyo ndo fursa itumie. Fungua Kampuni fanya hizo kazi wewe. Hii nchi kila mtu anapenda kulalamika wengine as if uliwalipia ada.
WATU WANASHINDWA KUTOFAUTISHA KATI YA KUJUA KUCHEZA DRAFT NA KUWA BIGWA WA KUCHEZA DRAFT (USTADI WA UCHEZAJI )Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
Kwa kukusaidia.Haaaahaaa! Lete vielelezo!! hacha porojo!!! za kuwapotezea watoto wetu Chuo mwisho wa siku wanaishia mitaani!
Huyu anajua coding ni vifaa au sijui ni nini? Coding is theory and principles. Kutoka kwenye hizo ndio utatengeneza kitu. Sasa anataka ufundishwe java bila kujua namna ya kuichapa na principle zake.....Hakuna chuo chochote duniani kinafundisha CODING Practically zaidi ya asilimia 25. Coding ni theory ukielewa theory practical inabaki juu yako mwanafunzi na kujiongeza kwako.
Magila ni self taught programmer yeye kasoma account IFM, lakini pale kaajiri watanzania waliosoma hapa hapa tu. Pia Smartcode huyo ndio kawajaza vijana wa kitanzania waliosoma hapa hapa tu. Vijana wapo wengi tu jaribu siku moja utembelee buni lab pale sayansi utaelewa.Okay! Umesema "smartcode/magilatech" wamejifunzia wapi? Utasikia UK/INDIA
Asante! Natafuta watu kama nyie!Kwa kukusaidia.
Tafuta kampuni inaitwa IFULUSI last time najua ofisi ilikua mikocheni that is back to 2011/12 uliza waliotengeneza USSD application ya M BET walikua kina nani na wakati wanatengeneza walikua wana experience kiasi gani? Na walisoma wapi? And who is behind all that.
Then anza kufuatia project za hao jamaa.
Ukifanikiwa hapo njoo tuendelee kujadili.
Inaweza kuwa na ukweli lakini siyo UDSM tu vyuo vingi inaweza kuwa hivyo na hata vya huko nje.Kwa maana kama first degree tunasoma General knowledge sasa kujua hicho ulichokisema ni kuwa wapo wanaojua wamesoma hapo udsm ila inategemea baada ya kumaliza degree yako umeanza kufanya kazi kwenye industry gani.Kwa sababu kama umefaulu vizuri degree yako industry utakayoanza kufanya nayo kazi watakufundisha utaelewa vizuri kwa sababu you have idea ulichosoma kwa hiyo itakuwa rahisi kufundishika.Wenzetu unakosema huko nje ukianza kazi unaanza kufundishwa kwanza jinsi ya kufanya kazi zao kwa standard wanayoitaka kwenye hiyo industry utakayoanza nayo na kama wamesema wanahitaji mwenye degree wanajua utakuwa mwepesi kufundishika kwa sababu ya kiwango chako cha elimuUkiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli cha taasisi wanazofanyakazi kiasi kwamba wanaweza kuwa wanabebwa kwavile wanakuta taasisi au kampuni tayari imesimama inafanyakazi na wao tiamajitiamaji wanaibia na kukalili na mwisho wa siku wanajimwambafai. Sasa katika tasinia ya computer huwezi kudanganya. Sasa naomba (KWA USHAHIDI), muhitimu yupi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kahitimu anajua kuandika lugha ya computer (coding) na aje hapa na ushahidi wa kazi alizozifanya na jinsi ambavyo jamii tunajua na anaishi kwa taaluma hiyo. Mimi wengi ninaowajua kwenye coding wamejifunzia nje ya Tanzania. Nasema hivyo, tusijekuwa tunapeleka vijana wetu tukidhani watasaidika kumbe wanaenda kulishwa theories na mwisho wa siku wanaishia mtaani kama taaluma nyingine za Art! Kama kuna wataaluma wa UDSM ebu njoo mtuambie pia!
Wewe huja ni-convise! Tunawapotezea muda "vipanga wa kidato cha sita"Magila ni self taught programmer yeye kasoma account IFM, lakini pale kaajiri watanzania waliosoma hapa hapa tu. Pia Smartcode huyo ndio kawajaza vijana wa kitanzania waliosoma hapa hapa tu. Vijana wapo wengi tu jaribu siku moja utembelee buni lab pale sayansi utaelewa.
Na coding asimilia 80 ni wewe mwenyewe hakuna chuo kitakufundisha uwe coder kipanga.
Coders wazuri waliosoma hapa hapa wapo wengi sana ila shida huko mtaani unataka mtu akutengenezee project ya milioni 10 kwa laki 5 sasa wewe unategemea nini.Wewe huja ni-convise! Tunawapotezea muda "vipanga wa kidato cha sita"
Mimi nina maisha yangu sina shida! Hila nina watoto tena kwa niaba ya watoto "vipanga" wanaomaliza kidato cha sita na div.1 ya point 3 hadi 6 ndoto zao ni masomo yatakayowapelekea kuwa vizuri kwenya coding! Kwa UDSM hiyo course ni "Bsc. In Computer Engineering" sio unawapeleka shimoni ambalo hawawezi kutoka!Wewe umetengeneza nini?
Kama hawajui hiyo ndo fursa itumie. Fungua Kampuni fanya hizo kazi wewe. Hii nchi kila mtu anapenda kulalamika wengine as if uliwalipia ada.
Wewe utakuwa hujui! Una-bid hela mdefu kusudi uajiri anayejua kutoka nje! Kalaghabao!Coders wazuri waliosoma hapa hapa wapo wengi sana ila shida huko mtaani unataka mtu akutengenezee project ya milioni 10 kwa laki 5 sasa wewe unategemea nini.
Nenda buni siku moja utakutana nao vijana ni coders wazuri. Kuna vijana fulani nadhani mwaka jana ni wanafunzi hapa hapa walishinda mashidano ya coding huawei huko china.
Yani good coders ni wengi sana mbona au wewe unahisi hadi mtu aje na project yake mwenyewe kama akina mark ndiye atakuwa coder mzuri?
Mkuu coding ni passion, asilimia 80 mtu anajifunza mwenyewe huko shule wanawapa basics tu maana ukishajua basics ni rahisi kujifunza languages nyingine. Kwanza dunia inakimbia kila mara kuna libraries, open source codes zinatoka kila siku na mtu inabidi ajifunze mwenyewe yote hayo maana hawezi kurudi shule.Mimi nina maisha yangu sina shida! Hila nina watoto tena kwa niaba ya watoto "vipanga" wanaomaliza kidato cha sita na div.1 ya point 3 hadi 6 ndoto zao ni masomo yatakayowapelekea kuwa vizuri kwenya coding! Kwa UDSM hiyo course ni "Bsc. In Computer Engineering" sio unawapeleka shimoni ambalo hawawezi kutoka!
Nyie ndio unakuja kuwambia mtu unataka akutengenezee app kama ya alibaba kwa milioni.Wewe utakuwa hujui! Una-bid hela mdefu kusudi uajiri anayejua kutoka nje! Kalaghabao!
Kwahiyo unataka kuniambia watanzania wote hawana passion ya coding?Mkuu coding ni passion, asilimia 80 mtu anajifunza mwenyewe huko shule wanawapa basics tu maana ukishajua basics ni rahisi kujifunza languages nyingine. Kwanza dunia inakimbia kila mara kuna libraries, open source codes zinatoka kila siku na mtu inabidi ajifunze mwenyewe yote hayo maana hawezi kurudi shule.
Kama mtu hana passion ya programming kamwe hawez kuwa programmer mzuri.
Sijasema hivyo! Nionyeshe kile kidogo ulichokifanya!Nyie ndio unakuja kuwambia mtu unataka akutengenezee app kama ya alibaba kwa milioni.