Kuna watu humu wanadhani hakuna kabisa. Unahitaji self discipline, determination na passion kujua Programming / Software development na kwa 80% ni juhudi yako binafsi
UDSM na hata vyuo vingi hawafundishi CS inavyotakiwa
Niwe mkweli, Lecturers wengi ni incompetent haswa upande wa Software development, Lectures zao nyingi ni shallow na outdated (na hii ni from personal experience cause nilisoma hapo)
Hiki ndicho kilichochangia idadi kubwa ya graduates wa CS kuwa incompetent kwenye Software development. Ila wapo 1% wanaojua vizuri na sio lazima wawe CS graduates