Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

Asante! Natafuta watu kama nyie!
Programming ni juhudi binafsi za mtu ,kiufupi kwa ulimwengu wa sasa hasa huko tunapoelekea mtu ambaye ni kilaza kwenye programming Hana tofauti na mtu asiye jua kusoma na kuandika.
Mfano mimi nimesomea Electrical engineering ila chuo programming ilikuwa inasisitizwa sana ,maana hata kudesign projects , huwezi tengeneza bila kujua programming
Vitu kama python na java nimejifunza mwenyewe mitandaoni na nina elewa mzuri tu ingawa sijasoma IT related course
 
Same applied here, Programming si ya kuisoma ukiwa ushakomaa akili kupitiliza utapasuka kichwa, ile inatakiwa iwe ni culture yake
Not only programming but also other skills on Earth. Hata music, kuchora nk vinatakiwa kutolewa ktk umrii mdogo. Wanafalsa waliweka elimu ya msingi ili iwe msingi wa kila jambo utakalojifunza baadae.
Chamsingi chunguza mtoto wako ana kipaji gani ? Kisha wekeza kukuza kipaji chake sio chako.
Ipo bahati ya kurithi kipaji ila kwa wachache sana duniani. Kwa hio usilazimishe kipaji chako kiwe cha mwanao, nyie ni watu wawili tofauti.Ukilazimisha, unataka mtoto wako awe wewe wakati sio kweli.
 
Programming
"It is dead career" in future accirding to Nvidia CEO. Why ? because programming will be human language like english !, that means every human will know how to code just because programming will be automated.
Kamsikilize vizuri huyo jamaa japo ni maneno ya kinabii inaweza kutokea au isitokee. Kwa hio mtu yeyote anaedhani programmming will be big deal anakuwa hafuatilii tech inakoelekea.
Kwa hio skills nyingi sana zitakabiliwa na changamoto wakati ujao. Hakuna guarantee ya skills tunazowapa watoto wa sasa zitakuwa applicable miaka 10 ijayo.
Imagine AI ndani ya mwaka mmoja wa uzinduzi wake isha wipe out baadhi ya kada, what about 10years to come ?
 
Kuna fani chache zitaendelea kubamba huku tunapoelekea hasa nchi za wenzetu ingawa fani nyingi kweli zitakuwa irrelevant kadiri AI nà technologies mpya zinavyokuja kwa kasi na kureplace watu ,watu wanaokuwa involved kwenye designing na maintenance ya vitu kama humanoid robots na automated systems nk , maintenance kazi lazima zifanywe na skilled human beings , watu wa mechanics , electrics nk
 
Kuna fani chache zitaendelea kubamba , unafikiri watu wanaokuwa involved kwenye designing na maintenance ya vitu kama humanoid robots na automated systems , maintenance kazi.a ifanywe na skilled human beings , watu wa mechanics , electrics nk
ni kweli ila hatuna guarantee.Unsona jinsi siku hizi elimu haimpi mtu 100 ya kazi. Competition ni kubwa sana nafasi ni chache.
Kwa hio wenye exceptional nfio wataokula baya average people watapata tabu.
Kwa taarifa yako Roboti atafanya mambo mengi tunacyofanya kasolo emotional behavior.
Robot ataweza kuzalisha hadi electronic chip sembuse kufungua enjini.Ile ni AI tena zitaweza kuperform zaidi ya human.
 
Usikariri ndugu, zama zimebadilika. Vijana wapo vizuri, kama ukitaka kufanya nao kazi njoo inbox nikupatie, utakuja kuufuta uzi huu. Ila uwalipe vizuri.
Leta hapa ushaidi! Inbox nikafanye nini mimi ni "me"
 
Yah !
Hata Elon Musk Kuna mwaka walimhoji kuhusu future ya AI na watu kupoteza ajira duniani , nadhani ilikuwa ni mwaka jana ile akasema miaka 10-15 ijayo inabidi serikali zianzishe malipo kwa watu wasio na ajira
Kama UBI ( universal basic income )
Maana hali itakuwa mbaya sana kutokana na uhaba wa ajira na njia za kujiingizia kipato ,
Michio KaKu ,huyu mjapan profesa wa Havard naye alisema kufikia 2040 itawezekana mtu kumiliki kampuni lenye thamani ya USD bilioni moja (zaidi ya trilioni mbili za tshs) na akawa na wafanyakazi ambao hawafiki hata kumi
Sasa pata picha
Yaani ndio ile masikini anazaliwa na kufa masikini na tajiri anapata exponential growth ya utajiri wake
 
Mbona Maxence Melo anajua mambo ya coding
 
TAaluma ya Comouter kwa vyuo vyetu hapa bado sana.

Utafanyishwa mahesabu & algorithim za ki long time ( C & C+) hadi ukome. ukitoka hapo utasaga lami mtaani kusaka kibarua bila mafanikio.

Labda uamue kuwa mwalimu.
 
Wewe jamaa bana

Wewe unazungumzia coding

UDSM wanafundishwa kujenga hiyo Coding Language yenyewe

Wewe unaona kutumia language ya mtu kufanya coding basi umefika,kumbe umetumia language ya mtu hata hujui imejengwaje na chanzo chake ni nini

Nyie ni matarishi,mnatumia miundombinu iliyopo kufanya hizo applications,UDSM wanafundishwa kujenga hiyo miundombinu yenyewe

Light weight!
 
Kama "source code" ni yenu hapo sawa lakini kuna wengi wanadownload free website na kuzicustomize kwa kuongeza templates na plugins, etc like WordPress, joomla, etc. Ukiwapa task kwamba nitengenezee for example "real-time apps ya kuonyesha traffic jams na kunipa alternative route nipite wapi" utaanza: eeeeh! "you know ....." this is complicated ......" 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…