Zaburi (Psalms) 130:3-4Mungu angehesabu makosa yetu basi hakuna ambae angetoboa wote tu wakosaji uzinzi sio dhambi pekee ndo maana kuna toba.
Dogo upo🤒Kuna vitu viwili hapo
Dua ndio inaweza jibiwa haina kifungo
Pili, kuhusu mwanaume kulaaniwa eti kafanya kitu kibaya kumuacha hapo hawapo sahihi huo uhusiano hautambuliki kidini hapa kama unalazimisha kurasimisha kwa Mungu hapa mwanaume hana kosa, kosa Lake kudhini tu.
Kama hujui ndoa ni nini basi huu uzi haukuhusu Mkuu.
Huu uzi ni kwaajili ya wanaoamini Dini na Mungu.
Hapa ndio ume reason logically??We mpuuzi. Nje ya ndoa ndio wapi? Ndoa ni nini? Mungu ni nini?
Hizi dini zimewafanya akili zimewehuka hamuwezi hata ku reason logically.
Typo mzeeDogo upo🤒
Kwani kwa uelewa wako Mungu anasaidia watu ganiKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi.
Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake.
Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea kwa Mungu apate kipato kikubwa baada ya kupigwa chini na jamaa yake.
Swali langu kwenu wenye Dini, hivi ni kweli dua zinaweza kujibiwa kwa mtu kama huyu aliezini na kukimbiwa na jamaa?
WENYE IMANI NAOMBA MNIJIBU.