Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

Hiyo namba nne mbona albert eistein alikuwa anagegeda binamu wake na alikuwa na iq kubwa...mbususu muhimu wewe wachana na nyeto ya mlenda vuguvugu🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni poor substitute for mbususu ni basi tuu kwa kuwa hatuna hela ndio maana bamia za buku na majani ya maboga yanatupoza genye
🤣🤣🤣 aiseee hyo master na dgree n ya makaratas hiv kwl umezdiwa na nyege uboo umesmam kama mnara wa babeli unaumia uonii pia hyo n stress mkuu maana unaota ndoto ya kufanya mapenz kla sku utakufa na msongo wa mawazo oa acha uonga wamaisha
 
Sex is a basic need....tuzisasambue hizi mbususu ata akili inakuwa creative
 
Mm nimetimiza mwaka sasa ( 12 months straight ), kusema ukweli nimebahatika kufanya maendeleo bnafc ya kiuchumi na kifikra I'm at peace. But From January 2025 ntaanza kuchovya lakn
 
Hawa ndio wanaotegea wanasababisha kwetu mzigo wa mbususu unatuwia mkubwa..!

Vijana tushirikiane kuzisasambua jamani..
🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha wazisuse mbususu. Mwenyewe nilikuwa na ujinga huo ila mdigo wangu mmoja alinisanja kuwa mzabzab mbususu haisuswi 🤣🤣🤣🤣
 
Hapo vip!!

Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili.

Pili ninapoona ushetani kwenye mahusiano yaani udanganyifu na usaliti kati ya wanaume na wanawake ni kweli mapenzi ni chanzo cha stress,magonjwa,ufilisi, kuharibu furaha na akili,mauwaji,uchawi n.k

Nashukuru Mungu hata sasa wazazi na ndugu wameamua kukubaliana na maisha yangu ya kuamua kuishi peke yangu,miaka 2 nyuma mama yangu alikuwa ananiambia sasa umemaliza chukuo kikuu na una master degree naomba uoe sasa, pasipo kujua mimi kunamaisha yangu nimeyachagua.Sasa hivi wameniunga mkono ni ishi maisha yangu.

Faida ya kuishi bila kufanya mapenzi na na kiumbe kinachoitwa mwanamke.

1. Kiimani unakuwa imara na unakuwa na nguvu sana katika ulimwengu wa roho.

2.Unakuwa na furaha uhuru sana yaani furaha wakati wote.

3. Uchumi unaimarika kwasababu kwasababu kwa asimilia 99 unakuwa unafocus kwenye malengo yako.

4. IQ inakuwa bora na kuongezeka na unakuwa unaona mambo mengi nje ya akili za kawaida..mfano wanaume wenye IQ kubwa Duniani na waliogundua technologia mbalimbali hawajawahi kuishi na kiumbe mwanamke..mfano..Galileo Galileo,Sir.Isack Newton,Father of mathematics,n.k.

5. Uwezekana wa kuishi miaka mingi ni mkubwa kwasababu huna stress,msongo wa mawazo n.k mfani angalia hata Mapapa wengi wanaishi muda mrefu sana

NB.UTAWEZA KUFANIKIWA JUU YA HILI KAMA UTACHA, KUEPUKA NA KUKAA MBALI NA DHAMBI.
mfano hauwezi kuepuka mwanamke kama unakunywa pombe n.k lazima uyakanyage.
Nyege zako unazipunguzia wapi?
 
"Faida ya kuishi bila kufanya mapenzi na kiumbe kinachoitwa mwanamke" Kwa hiyo mwenzetu una kula mkono au unakula mashoga?
 
Yani niache ile furaha nakua nayo pindi nimwonapo huyu mdada anaropoka na kubinua macho akiwa anamwaga.

Acha masihara mkuu, kuna wengine tukifanya hvyo wiki moja tu basi tutatembea huku mnara umesimama.
 
Hapo vip!!

Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili.

Pili ninapoona ushetani kwenye mahusiano yaani udanganyifu na usaliti kati ya wanaume na wanawake ni kweli mapenzi ni chanzo cha stress,magonjwa,ufilisi, kuharibu furaha na akili,mauwaji,uchawi n.k

Nashukuru Mungu hata sasa wazazi na ndugu wameamua kukubaliana na maisha yangu ya kuamua kuishi peke yangu,miaka 2 nyuma mama yangu alikuwa ananiambia sasa umemaliza chukuo kikuu na una master degree naomba uoe sasa, pasipo kujua mimi kunamaisha yangu nimeyachagua.Sasa hivi wameniunga mkono ni ishi maisha yangu.

Faida ya kuishi bila kufanya mapenzi na na kiumbe kinachoitwa mwanamke.

1. Kiimani unakuwa imara na unakuwa na nguvu sana katika ulimwengu wa roho.

2.Unakuwa na furaha uhuru sana yaani furaha wakati wote.

3. Uchumi unaimarika kwasababu kwasababu kwa asimilia 99 unakuwa unafocus kwenye malengo yako.

4. IQ inakuwa bora na kuongezeka na unakuwa unaona mambo mengi nje ya akili za kawaida..mfano wanaume wenye IQ kubwa Duniani na waliogundua technologia mbalimbali hawajawahi kuishi na kiumbe mwanamke..mfano..Galileo Galileo,Sir.Isack Newton,Father of mathematics,n.k.

5. Uwezekana wa kuishi miaka mingi ni mkubwa kwasababu huna stress,msongo wa mawazo n.k mfani angalia hata Mapapa wengi wanaishi muda mrefu sana

NB.UTAWEZA KUFANIKIWA JUU YA HILI KAMA UTACHA, KUEPUKA NA KUKAA MBALI NA DHAMBI.
mfano hauwezi kuepuka mwanamke kama unakunywa pombe n.k lazima uyakanyage.
Nakubaliana na wewe japo mimi na papuchi hatujagombana
 
Back
Top Bottom