Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu pombe hunywi , mwanamke huna!?Hapo vip!!
Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili.
Pili ninapoona ushetani kwenye mahusiano yaani udanganyifu na usaliti kati ya wanaume na wanawake ni kweli mapenzi ni chanzo cha stress,magonjwa,ufilisi, kuharibu furaha na akili,mauwaji,uchawi n.k
Nashukuru Mungu hata sasa wazazi na ndugu wameamua kukubaliana na maisha yangu ya kuamua kuishi peke yangu,miaka 2 nyuma mama yangu alikuwa ananiambia sasa umemaliza chukuo kikuu na una master degree naomba uoe sasa, pasipo kujua mimi kunamaisha yangu nimeyachagua.Sasa hivi wameniunga mkono ni ishi maisha yangu.
Faida ya kuishi bila kufanya mapenzi na na kiumbe kinachoitwa mwanamke.
1. Kiimani unakuwa imara na unakuwa na nguvu sana katika ulimwengu wa roho.
2.Unakuwa na furaha uhuru sana yaani furaha wakati wote.
3. Uchumi unaimarika kwasababu kwasababu kwa asimilia 99 unakuwa unafocus kwenye malengo yako.
4. IQ inakuwa bora na kuongezeka na unakuwa unaona mambo mengi nje ya akili za kawaida..mfano wanaume wenye IQ kubwa Duniani na waliogundua technologia mbalimbali hawajawahi kuishi na kiumbe mwanamke..mfano..Galileo Galileo,Sir.Isack Newton,Father of mathematics,n.k.
5. Uwezekana wa kuishi miaka mingi ni mkubwa kwasababu huna stress,msongo wa mawazo n.k mfani angalia hata Mapapa wengi wanaishi muda mrefu sana
NB.UTAWEZA KUFANIKIWA JUU YA HILI KAMA UTACHA, KUEPUKA NA KUKAA MBALI NA DHAMBI.
mfano hauwezi kuepuka mwanamke kama unakunywa pombe n.k lazima uyakanyage.
mm nakushaur jaribu na viumbe wengne kama vile majini au viumbe sio bnadamu kama vile ng`ombe mana wana mapenz ya kwel ukiachana na viumbe vinavoitwa wanawake wakbnadam kama ulvosemaHapo vip!!
Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili.
Pili ninapoona ushetani kwenye mahusiano yaani udanganyifu na usaliti kati ya wanaume na wanawake ni kweli mapenzi ni chanzo cha stress,magonjwa,ufilisi, kuharibu furaha na akili,mauwaji,uchawi n.k
Nashukuru Mungu hata sasa wazazi na ndugu wameamua kukubaliana na maisha yangu ya kuamua kuishi peke yangu,miaka 2 nyuma mama yangu alikuwa ananiambia sasa umemaliza chukuo kikuu na una master degree naomba uoe sasa, pasipo kujua mimi kunamaisha yangu nimeyachagua.Sasa hivi wameniunga mkono ni ishi maisha yangu.
Faida ya kuishi bila kufanya mapenzi na na kiumbe kinachoitwa mwanamke.
1. Kiimani unakuwa imara na unakuwa na nguvu sana katika ulimwengu wa roho.
2.Unakuwa na furaha uhuru sana yaani furaha wakati wote.
3. Uchumi unaimarika kwasababu kwasababu kwa asimilia 99 unakuwa unafocus kwenye malengo yako.
4. IQ inakuwa bora na kuongezeka na unakuwa unaona mambo mengi nje ya akili za kawaida..mfano wanaume wenye IQ kubwa Duniani na waliogundua technologia mbalimbali hawajawahi kuishi na kiumbe mwanamke..mfano..Galileo Galileo,Sir.Isack Newton,Father of mathematics,n.k.
5. Uwezekana wa kuishi miaka mingi ni mkubwa kwasababu huna stress,msongo wa mawazo n.k mfani angalia hata Mapapa wengi wanaishi muda mrefu sana
NB.UTAWEZA KUFANIKIWA JUU YA HILI KAMA UTACHA, KUEPUKA NA KUKAA MBALI NA DHAMBI.
mfano hauwezi kuepuka mwanamke kama unakunywa pombe n.k lazima uyakanyage.
Uchumi wa kuhimarika peke yako bila ya kuwa na watumiaji sio mzuriHapo vip!!

Mwanachama wako mtiifu huyu mpe kadi ya GOLD 😂member huyu wa chama pendwa
Nakazia sana aje kuomba ushauri wa namna ya utambi kuwa mshumaa.Baada ya mda uje na mrejesho juu ya madhara ya punyeto
Vinee vitamu lo weeeehh!