Ni mwana Simba SC mwenye roho mbaya na ya kichawi ndiyo hatolifurahia 'Classic Goal' la Stephane Aziz Ki

Derby ijayo munaongoka na 11G🤸
 
kwa hiyo azizi ki kuifunga simba leo ndio kawa bora. Tuambie kaonekana wapi zaidi ya lile goli. Mbona hakuwavusha yanga kwenda group stage. Kama unae chama ki wanini. acha kwenda na matukio kama upepo
Kwani alitumwa kufanya nini uwanjani kama sio kufunga?

Makolo ni Makolo tu
 
Msimu ujao Ki anakuja Simba

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Lile goli lilikuwa na kasi sana 100 kph, Manula angeicheza ile angeteguka nyonga
 
kwa hiyo azizi ki kuifunga simba leo ndio kawa bora. Tuambie kaonekana wapi zaidi ya lile goli. Mbona hakuwavusha yanga kwenda group stage. Kama unae chama ki wanini. acha kwenda na matukio kama upepo
Alionekana kwenye derby ya kabla ya hii ya jumapili. Mliona jinsi alivyokua akimgalagaza shabalala,mlimwona akitoa assist ya kikatili ya goli la pili la Mayele..nk
 
Ungekuwa radhi Chama akae benchi? Nabi mwenye anashindwa ampange nani namba 10 kati ya Ki na Fei.

Vv
 
Kwani uko uwanjani anacheza mwenyewe.kwani ukikubali kua jamaa ni mzuri unapungukiwa nini?.tupunguze husuda zisizokua na maana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unaposema mchezaji mzuri lazima uwe na takwimu zinazombeba. tuambie ana magoli mangapi jumla mpaka sasa kweny caf champs qualificaton na league. pia nipe takwimu za assist.. ukinipa sitokuwa mnafikiki nitasema ni mzuri
 
Nipe takwimu za assist.na magoli aliyofunga tangu aje yanga alafu na asssists. free kick za aina ile tangu aje yanga yeye ndio mpigaji na lile ndio goli lake la kwanza la free kick. unapenda sana kwenda na matukio wewe kama upepo
 
Mkuu kama unafatilia mpira ile haikuwa makusudi ndio maana refa aliiona lakini hakutoa kadi, nakuhakikishia chama hatopata adhabu yoyote
Kwa foul Ile Mtu amelala unakanyaga juu Bora refa angemuonyesha Kadi ya njano, lakini kumwacha kama Hakuna kilichotokea ni kumtafutia adhabu kubwa zaidi. Si Kila Kadi inatoka Kwa kosa la makusudi, hata bahati mbaya inaadhibiwa (reckless manner).
 
Tuonyeshe huo ubingwa wa CAF mnaojivunia nao
 
Hali haitaki kulifurahia goli inamtaka mtu kulikubali.utafurahiaje kisu cha mbavu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…