Ni mwana Simba SC mwenye roho mbaya na ya kichawi ndiyo hatolifurahia 'Classic Goal' la Stephane Aziz Ki

Ni mwana Simba SC mwenye roho mbaya na ya kichawi ndiyo hatolifurahia 'Classic Goal' la Stephane Aziz Ki

kwa hiyo azizi ki kuifunga simba leo ndio kawa bora. Tuambie kaonekana wapi zaidi ya lile goli. Mbona hakuwavusha yanga kwenda group stage. Kama unae chama ki wanini. acha kwenda na matukio kama upepo
Aziz Ki mmoja ni sawa na Chama watano
 
Hongera kwa kuchapwa goli Kali sana na Yuleyule Bwana midomo wazi🤓
 
Back
Top Bottom