N ngongoti2000 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 2,236 Reaction score 2,142 Oct 26, 2022 #81 Rambo man said: kwa hiyo azizi ki kuifunga simba leo ndio kawa bora. Tuambie kaonekana wapi zaidi ya lile goli. Mbona hakuwavusha yanga kwenda group stage. Kama unae chama ki wanini. acha kwenda na matukio kama upepo Click to expand... Aziz Ki mmoja ni sawa na Chama watano
Rambo man said: kwa hiyo azizi ki kuifunga simba leo ndio kawa bora. Tuambie kaonekana wapi zaidi ya lile goli. Mbona hakuwavusha yanga kwenda group stage. Kama unae chama ki wanini. acha kwenda na matukio kama upepo Click to expand... Aziz Ki mmoja ni sawa na Chama watano
U Upepo hauna rangi Member Joined Sep 28, 2022 Posts 17 Reaction score 15 Oct 26, 2022 #82 Goli la TOBO zamani yalihesabiwa kuwa mawili.
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,859 Reaction score 4,539 Oct 26, 2022 #83 Hongera kwa kuchapwa goli Kali sana na Yuleyule Bwana midomo wazi🤓