Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

he he he, tunafoloana foloana tu

zamani ilikuwa kama unampenda mtu unachukua ndoo yake ama shati lake unakimbia nalo.

Basi mtakimbizana weee, ndio hii yangu na babu.

Kongosho ''Umuwache apumuwe'' mzee mzima Dark City!

Mbona kum follow follow hivyo?
 
Last edited by a moderator:
he he he 🙂

nakudeku tu, silali

Ni bhange kaka....

Watoto wa siku hizi full mzuka wa jani kwa kwenda mbele,

Si unaona kachoka tayari....

Hata ka Kongosho kalikuwa kanasumbuliwa na usingizi....kameshapigiwa bedside stories...

Kwisha habari yake...

Hata kale kambeya kakubwa ka Madame B kamelala..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ONYO: Yo Yo, watu8, Judgement, Filipo na wengine, hizo lugha mnazotumia hapa ni faul language. Ni kinyume kabisa na taratibu za humu. Muhimu zaidi thread hii (ya Sumbalawinyo) inahusu upendo na siyo chuki. Stop that kind of language please.

Mhe. Arushaone kumbe kazi ya uhakimu tukiku- grant hapa utanyonga wengi!
Kabla hujalaumu ungefatilia pande ipi imeanza na abusin materials! Anaekwenda kwa Id ya yoyo ndiye founder.
Alitupia comment katikati ya uzi kwamba ile thrade tuna debate @upuuzi na @upumbavu akimaanisha chtcht members in general .
Watu8 akamjibu kwa majibu laini! (kama anamchekeachekea hivi)
Ndipo mimi niliponunua hiyo kesi , because i was not comfort due abusin language frm yoyo.
Eventhough nilipomsukumia yoyo comment moja tu, akarespond hapa wote tuna debate upumbavu! (huku akiweka msisitizo eti upumbavu ni sifa , hence anatusifia)
As a matter of fact Mr. Arushaone katika vitu hua sivihitaji hapa jamvi ni quarrel amon members ! Iweje mtu avundumke frm alipo na kuja kutukana jukwaa zima?
Kilichoniskitisha hata mimi niliekua nakomaa nae kumnyamazisha mitusi on behalf of all members unanilaumu pia? Ulipenda mtu atukane then tucheke nae au?
 
Last edited by a moderator:
he he he 🙂

nakudeku tu, silali


Bora umelala sasa,

Vumbi limetulia na sasa watu wazima tunaweza kuteta kikaeleweka....

Bado haka katoto tundu Madame B....akiendelea kugoma kulala, dawa yake ni makwenzi kichwani...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mimi kulingana na id za watu hapa hatahuwa sielewi yupi mwanamke na yupi ni mwanamme isipokuwa mimi tu ndio hujitambua.
 
Khaaaa! Mtoto una wivu wewe! Tangu lini binti akamtega baba yake? Zion Daughter hebu fikiria mara mbili. Mwita Maranya hebu msikilize binti yako!
mwaJ kuna formula moja lazima uijue..katika familia mara nyingi watoto wa kike huwa wanakuwa karibu na kupendana na baba zao na watoto wa kiume huwa wanapendana zaidi na mama zao..Hiyo ni nature tu..hata dady angu Mwita Maranya analijua hili..
Wewe jitahidi kunikonvisi azawaizi ili nibadili mawazo ya tego
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter nizimie mwenzio nione raha

Tatizo comedians are not my type.... ungekubali kuacha na ukabaki na upaparazi ningefikiria...

avatar13443_8.gif
 
Back
Top Bottom