Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Napenda civilized woman, mstaarabu mwenye kukeep time, mwenye roho nzuri wengi wanawake roho nzur hawana.

mwenye anajua kuwa na mahaba at every point.

mwanamke anaye mngoja mwanaume wake arudi nyumbani baada ya mihangahiko na kumpokea na huyo ndiye mwanamke, wanaagana au anamuaga mumewe kwenda kazini huku akimfunga kifungo na kukunja kola ya shati.
Hatimaye wadada kina Palina na wengineo wamefurahia comment yangu
 
Kila mtu ana matamanio yake juu ya mtu au katika maisha, je!

Ni aina gani ya mwanamke ambae unatamani kuwa nae lakini hujampata?

Moriah Mills​

Attachments

  • Screenshot_20230625-222501~2.png
    Screenshot_20230625-222501~2.png
    180.7 KB · Views: 7
maisha yanabadilika na watu pia wanabadilika mdogo wangu acha ajitafutie wa hitaji lake.
Nilimpenda kuanzia sekunde uliyonitambulisha.

Hata hivyo we don't loose people.
They loose us.

Atajuta.
Hawezi kupata tena wa aina yako.
Naombea ajiongoze mapema kabla hajakupoteza
 
Nilimpenda kuanzia sekunde uliyonitambulisha.

Hata hivyo we don't loose people.
They loose us.

Atajuta.
Hawezi kupata tena wa aina yako.
Naombea ajiongoze mapema kabla hajakupoteza
sina pa kwenda kwake nimetia nanga ila yeye kama ana pakwenda aende tu 😪
 
Napenda civilized woman, mstaarabu mwenye kukeep time, mwenye roho nzuri wengi wanawake roho nzur hawana.

mwenye anajua kuwa na mahaba at every point.

mwanamke anaye mngoja mwanaume wake arudi nyumbani baada ya mihangahiko na kumpokea na huyo ndiye mwanamke, wanaagana au anamuaga mumewe kwenda kazini huku akimfunga kifungo na kukunja kola ya shati.

Tamthilia zimekuathirii[emoji23][emoji23]

Akukunje kola ya shati amka hapo hao wapo kwenye movie tu[emoji38]
 
Tamthilia zimekuathirii[emoji23][emoji23]

Akukunje kola ya shati amka hapo hao wapo kwenye movie tu[emoji38]
Acha basi hata huku mtaani wapo ni mipangilio yenu tu mama.

Wewe unaona hivo sababu mnaoneana aibu wewe na baby wako, au mmoja wenu au wote kwa pamoja hamko romantic.

Kama kila saa mnawaza maisha magumu hilo haliwezi kuwa rahisi kwenu mfano wewe unawaza huna mia na bwana ako yupo rafu anatoka kama kakimbizwa nyumbani na akirudi kakunja ndita that life will not change na hapo furaha hakuna.

muupe muda nafasi ya vitu na mridhike na kipato chenu huku mkispend wisely, if you decided to go rough in life its upon you kwani maisha ni mipangilio tu....)

ila possibly you can meet around the one with such interest ya kuyaishi maisha hata kama pesa hakuna kivile.
 
Nataman niwe na mdada ambae ni Mzur akivaa anapendeza hasa hasa akivaaa jersey na trouser zimkae vzr

Awe na tips na masuala ya mpira sio lazima ajue in deep lkn awe tu na zle basics!

Asiwe mtu wa udaku sana sio demu mpaka ajue sijui lava lava kafanyaje, Mario sijui kamfanyaje Paula awe kawaida tu huko.

Awe na Imani 🧐 moderate tu sitaki umama mchungaji mwingi, ili hata watoto wawe na basics za masuala ya kiimani tangu wakiwa wadogo

Mwisho japo sio muhimu sana, nawish awe mwalimu wa level yeyote ikishindikana bas at least awe na IT and computer studies skills ili hata nkisema C, C++, Java, python, PHP awe hata na idea flan

Ni ngumu kumpata lkn nikimpata asie tapambana apate kila anachokipenda 😁!
 
awe anayo trako,
awe na lips nzuri sana,
awe ana macho mazur ili akinikera nishindwe kumpiga na kumuumiza😘
awe na nyonyoo wastani
awe na elimu walau form four
awe mwelewa
awe shabiki wapira team yoyote uingereza,.
awe anacheza pes,au Fifa games,
asiwe mfupi sana
awe na videle vizur
Dini ningependela awe amelelewa uslamuni
 
Back
Top Bottom