Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Aisee chuchu kwenzi bongo zimekuwa adimu kwelikweli mbele zipo kibao ila hapa nyumbani nazisaka mpaka kwa vitoto vya chuo nakutana na ndala za balozi tu..kama kuna mwenye chuchu kwenzi humu ninazawadi yake atanifaa sana ninaahidi kuzilinda na kuzitunza ili zidumu daima maana ni fahari kuziangalia.
 
Wanaume mna tamaa sana hata mumpate wa aina gani bado mtatamani mwengine. Ndiyo maana Mwenyezi Mungu katika Qur'an akawaruhusu mpaka wanne ikiwa mtaweza kufanya uadilifu:

Qur'an 3:3 ...basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu,...

Mtauweza huo uadilifu? Wanaume wenyewe wa siku hizi lishe ndogo.

Uislam ni mwema sana.
Ebu tutolee mambo ya udini apaa
 
Hivi wewe unajua mwanamke anaweza kutembea na watu wangapi kwa siku moja kama akiamua!! Lakini kwa mwanamume hata akiamua hawezi kutembea na idadi aiwezayo mwanamke kwa siku moja! Kwa hiyo wanawake ndio wenye tamaa kuliko wanaume!!
 
Kila mtu ana matamanio yake juu ya mtu au katika maisha, je!

Ni aina gani ya mwanamke ambae unatamani kuwa nae lakini hujampata?
Mwanamke mtu mzima sana wenye rangi nyeusi tiiii na kalio kubwa. Awe mnene sana. Pia awe na mapenz ya kwel
 
True lover,

only who loves me for real,

Don't matter what but me first,

Nilipo awepo alipo niwepo

yeye awe Mimi na Mimi niwe yeye

Pesa,anasa,visiwe sehem ya mapenzi yetu
 
Back
Top Bottom