Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

1.Sipendi mwanamke mwenye sura ya baba,
2.sipendi mwanamke asiye na shape, 3.sipendi mwanamke asiye charming

Napenda type hizi

1.

Screenshot_20230624-065334~2.png


2.
Screenshot_20230425_101706_Instagram.jpg



3
1686860944427.jpg


4.
Screenshot_20230527-194122~2.png



Kama demu hana tako kwangu simuwezi kabisa ni bora uwe na sura ya baba ila

TAKO
TAKO
TAKO.
TAKO
TAKO
TAKO. NI MUHIMU SANA ASEEEE
 
Mwanamke fulani mwenye dini kidogo, aliye na upendo wa kweli atakayenivumilia Hali yangu tena awe na kazi asapoti haso zangu hata kwa kunipa mawazo, ushauri na financial assistance anapoona nahitaji hata "Baby nakutumia 20,000 ufuatilie mchongo wako"

Huyu mwanamke nikitoboa hakuna mtu ataniambia kitu kuhusu yeye hata mama mzazi ninampenda nitamnunulia kila kilicho ndani ya uwezo wangu, nita mfeel nitampa attention, always I will be there for her.
 
No,sifa ya kwanza ya mwanamke ni via vyake vya uzazi hence hedhi🙏so asiyepata hedhi siyo mwanamke🤣🤣sorry next think before you type,
Mie nimeandika kwa utani, hiyo comment weye ndio umeichukulia serious.. Mie natamani mwanamke awe na chura na asiwe na chura basi 😊.. huwa sipendi kabisa kusoma hata neno ulilo husisha na comment yangu juu..
 
Back
Top Bottom