Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

tangu utotoni nili kuwa nawa chimba mkwara ndugu jamaa na marafiki kwamba niki kua nita oa muzungu ,kwa hiyo wazo la kuoa mzungu halija futika kichwani mpaka sasa maana napenda mademu wa kizungu hasa wale wenye nywele nyeupe
 
Napenda civilized woman, mstaarabu mwenye kukeep time, mwenye roho nzuri wengi wanawake roho nzur hawana.

mwenye anajua kuwa na mahaba at every point.

mwanamke anaye mngoja mwanaume wake arudi nyumbani baada ya mihangahiko na kumpokea na huyo ndiye mwanamke, wanaagana au anamuaga mumewe kwenda kazini huku akimfunga kifungo na kukunja kola ya shati.
 
Back
Top Bottom