Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Napenda mwanamke anayependa kutabasamu sana na awe mjanja haswa kuongea sana na mcheshi .

Awe mtu dini ,ajistiri pia apende sana watu na ndugu zangu ...Asiwe na dharau kwa mtu yeyote ile wala kiburi
 
Biblia inasema utampata wa kufanana nae,

mpaka leo naletewaga copy za watu asee sijawahi

letewa copy yangu yule wa kufanana nae,najikaza tu lakini

[emoji38][emoji38][emoji38]
Nimecheka sana
Labla utampatia mbinguni mkuu
Endelea kusubiri
 
I have seen enough already!

Labda aniambie ina meno, otherwise, enough is enough
FB_IMG_16867224398914635.jpg
 
Wanaume mna tamaa sana hata mumpate wa aina gani bado mtatamani mwengine. Ndiyo maana Mwenyezi Mungu katika Qur'an akawaruhusu mpaka wanne ikiwa mtaweza kufanya uadilifu:

Qur'an 3:3 ...basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu,...

Mtauweza huo uadilifu? Wanaume wenyewe wa siku hizi lishe ndogo.

Uislam ni mwema sana.
 
Mwanamke fulani hivi mbabe, yani akizingua au nikizingua tupigane makonde na siyo mimi tu nimtoe ngeo no na yeye anitoe ngeo.

Hata upande wa kuzagamuana sihitaji tuvuane nguo kistaarabu, nataka pawepo na purukushani fulani hivi ya kutoana jasho, yani inshort pawepo na vurugu kwanza hiyo ndo huwa inanipa mzuka wa kufa mtu.
 
Back
Top Bottom