Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Hayo mwenyewe washanikosa [emoji1787]

Me nataka mkaka anayetuma hela bila kuombwa na anatuma na ya kutolea.
Kama yupo aje pm chap
mi leo nimetuma bila kuombwa ila bila ya kutolea.

Baby kanambia tu leo naenda saloon kidume nkajiongeza....ila pumzi kubwa imenitoka sema inataka uzoefu sana haya mambo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie ndio wanaume sasa🥰🥰

Usipomjali baby wako nani atamjali jamani
 
Back
Top Bottom