Nimetulia sina shida na mtukama upo double tulia huko huko usijichanganye
Matom boy auMwanamke kama Rosa Ree au Chemical.
NakaziaMwenye anakuwa:
1.Mama kwenye nyumba.
2.Malaya chumbani.
3.Mpishi jikoni.
4.Haiba mtaani.
5.Akili atatumia zangu ila asiwe kilaza.
6.Dini moyoni.
ila watu ndio wenye shida naweNimetulia sina shida na mtu
Hapo sasa sio shida zangu πila watu ndio wenye shida nawe
mi leo nimetuma bila kuombwa ila bila ya kutolea.Hayo mwenyewe washanikosa [emoji1787]
Me nataka mkaka anayetuma hela bila kuombwa na anatuma na ya kutolea.
Kama yupo aje pm chap
hatuelewi ππ yule Depal yu wapiHapo sasa sio shida zangu π
Nahisi wifi alikua anatania siamin ni kweli aiseeβΉοΈmy wangu akiwa anamtafuta my wake π₯Ί
Nyie ndio wanaume sasaπ₯°π₯°mi leo nimetuma bila kuombwa ila bila ya kutolea.
Baby kanambia tu leo naenda saloon kidume nkajiongeza....ila pumzi kubwa imenitoka sema inataka uzoefu sana haya mambo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nataman uwe Arusha nikamilishe ndoto yanguNgoja nisome comments,,, huenda nikawa ndoto ya mtu hapa[emoji854][emoji854]
taja sifa zake,,, huenda nikafitππππNataman uwe Arusha nikamilishe ndoto yangu
Mwenye jina la Leejay49 ndo sifa tosha mengine tutavumilianataja sifa zake,,, huenda nikafit[emoji2][emoji2][emoji2][emoji12]
πππππ€£π€£π€£ππMwenye jina la Leejay49 ndo sifa tosha mengine tutavumiliana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119] We tag location bibie[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Tumalizie weekend[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]