Ni nadra sana mtoto anaefanya mazoezi kupata magonjwa yasioambukizwa

Ni nadra sana mtoto anaefanya mazoezi kupata magonjwa yasioambukizwa

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Watoto ama vijana walio chini ya miaka 30, wana advantage moja kubwa sana katika afya! KUPONA MAPEMA
mtoto akiumia kama ni wa mazoezi basi haihitaji hospitali hua anapona mwenyewe hata kama ni tatizo kubwa kama kuvunjika hua matibabu yao ni haraka na wanapona mapema, hivo basi wewe kama mzazi mwaka 2026, hakikisha litoto lako halikai kwenye tv mda mrefu bali mtoe nje akacheze mpira na wenzake utakua unamsaidia sana katika afya yake, sasa na baadae

 
Back
Top Bottom