Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema
 
huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Samia
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.
 
Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?
Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.
 
Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Samia.
 
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Samia.
Mkuu ni vile tu Rais Samia alitoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi wa kishindo ulikuwa lazima.
 
Mkuu ni vile tu Rais Samia alitoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi wa kishindo ulikuwa lazima.
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
 
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera saaaana mama yetu Samia.
 
JPM kawanyoosha CHADEMA hawana hamu naye
...... alisema kufika 2020 akina Chadema wangekuwa tayari mfu, sasa cha ajabu Chadema ndio walioshiriki kumzika yeye, sasa nani mshindi...??

Chama kama Chadema kimeshakomaa na kuwa na mizizi hata nje ya nchi na kwa kiongozi yeyote kukinyanyasa ni hatari sana kwa mstakabali wa huyo mtawala.

Bila shaka miaka mingi ijayo itakuja kujulikana namna kifo cha Magufuli, ambacho hakikutarajiwa kwamba kingeweza kutokea kwa wakati husika, chanzo chake kilikuwa nini na ndipo itakapo bainika kwamba kilikuwa na mafungamano na maovu aliokuwa akiwatendea Chadema (miongoni mwa mengine). Time will surely perfect my article.
 
Hivi ilikuaje mpaka mbabe Bashir kukubali kuipatia Uhuru Sudan kusini
 
Back
Top Bottom