Tall Msafi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 230
- 231
Mkuu, mwambie Rais Samia kuwa Asante kwa bwawa la umeme la Nyerere.Rais yetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mwambie Rais Samia kuwa Asante kwa bwawa la umeme la Nyerere.Rais yetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadi
Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Samia.Mkuu, mwambie Rais Samia kuwa Asante kwa bwawa la umeme la Nyerere.
huko Ulaya ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Samia.Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Samia.
Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu.huko Ulaya ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Samia.
Upo?Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu.
Sawa mkuuhuko Ulaya ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Samia.
kwahiyo janjaweed ilundwa na CIA au Al Bashir maana walikuwa marafik na Al BashirJohn Garang alitaka Sudan iwe moja,wadinka,Nuer,Warabu,Wanubi waishi na kufanya kazi pamoja.Priority ya CIA was to divide and rule ambayo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa, baada ya Sudan kusini kuwa huru kichobaki ni kuwapiganisha Wadinka na Nuer huku asilimia 90 ya pato la mafuta linatumika kununulia vifaa vya kivita.RIP John Garang.
sasa mtu anaunda janjaweed kuwaua wote weusiJuba haitakuja kusimama kama Khartoum na mabomba ya mafuta yapo.Ni kama Congo haitasimama mpaka madini yaishe.Sudan kuwa Nchi moja ndiyo ingenufaika zaidi kwa kuwa na sera za umoja wa kitaifa na sheria kandamizi kufutwa.
Haya ndiyo madini ninayopenda kuyasikia😀[emoji23][emoji1787][emoji28]!!
Ahsante kwa kunikaribisha kwenye mada, manake tag ya Infantry Soldier sikuiona kabisa!!
Kwanza niongee jambo moja aliloongea Infantry Solider (IS) hata kama halina umuhimu! IS anapenda kuiita Sudan (ya kaskazini) kama Sudan ya Waarabu!
Sudan wanaupenda sana Uarabu lakini hawana uarabu wowote! Unaweza kukuta mtu anaitwa Al Barghash Seyyid ibin Sultan Majeed ibn Saeed Abd al-Aziz lakini ukimuona unakuta yupo mweusi tii!
Na hata hao tunaoweza kuwaita Waarabu, majority ni Afro-Arabs!
Turudi kwenye mada!
Kwa ufahamu wangu, mgogoro wa Sudan na South Sudan umeanza zamani sana, hata kabla hayo mafuta hayagundulika. Hawa walianza kutwangana mapema tu baada ya uhuru, wakati huo Sudan ikitegema sana zao la pamba.
Tukitaka chanzo kabisa basi lazima turudi nyuma karne kadhaa zilizopita!
Mosi, kabla ya Uislamu kuingia Misri, taifa hilo lilikuwa chini ya Roman Empire kwa karne kadhaa kabla hawajatikiswa na Iranian Empire! Roman Empire kabla ya hawajakaa vizuri, Utawala wa Kiislamu (Rashdun Caliphate) wakafanikiwa kuiondoa Roman Empire ndani ya Egypt.
Rashdun Caliphate haikuishia Misri bali ilienda hadi Sudan (Dola la Wanubi) ambako mwanzoni walikula kichapo toka kwa Wanubi, ikabidi waingie mitini!
Remember, at this time Dola la Wanubi lilikuwa la Wakristo na kwahiyo Sudan Kaskazini ilikuwa ya Wakristo!!!
Miaka kadhaa baadae, Majeshi ya Kiislamu kutoka Misri yakajipanga upya na kurudi tena Sudan, na kwa mara nyingine Majeshi ya Kiislamu kutoka Egypt yakachezea kichapo!
To cut a long story short, Nubian Christian iliendelea ku-survive hadi na wenyewe walipoangukia mikononi mwa Ottoman Empire, na kutokea hapo Uislamu ukaanza kuenea Sudan!
Hata hivyo, kule kusini wengi walikuwa hawajapokea imani za wageni!
Ukaingia Utawala wa Waingereza!!
Utawala wa Kiingereza waliikuta Sudan Kaskazini ikiwa ya Waislamu, na kule kusini dini ilikuwa haijatawala sana, na hivyo kumfanya Mwingereza apeleke Ukristo kusini.
Lakini wakati Uingereza inaingiza Ukristo Southern Sudan, kule Kaskazini walikuwa wameshapiga hatua kimaendeleao kulinganisha na kusini!
Mwingereza nae, ni kama akafuata mfumo ule ule... wakati anawapa Bible Kusini, shughuli nyingi zikawa zinafanyika kaskazini to the point, by 1902 Kaskazini wakawa na chuo chao cha kwanza na hivyo kuwawezesha kujenga Tabaka la Watawala huku kusini wakibaki na bible yao!!
Sasa lilipoanza vuguvugu la kudai uhuru barani Afrika bila shaka unaweza kupata picha ni nani alianzisha harakati na hatimae kuhodhi madaraka... ni Sudan Kaskazini!
Ibrahim Abboud alipoingia madarakani, mambo ndo yakaanza kuwaka moto rasmi, na kosa kubwa ambalo alifanya ni kuiingiza Sudan Kusini kwenye utamaduni Kiislamu na Kiarabu ambao ulikuwa umeshamiri Kaskazini iliyokuwa imehodhi madaraka!!
Hata Mitaala ya Kiingereza iliyokuwa inatumika kusini, ikabadilishwa na kuingizwa ya Kiarabu na Kiislamu!!
Watu wa Kusini hawakuwa tayari kwa hilo, na mtifuano wa wazi kati ya kusini na kaskazini ukaanzia hapo. Hyo hiyo ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 1960's kabla hayo mafuta hayajagunduliwa!!!
Na tangu mgogoro huo wa mwanzo kabisa kuanza, Sudan mbili hizi hazikutulia tena hadi walipokuja kugawana nyama mbichi! Kwahiyo naweza kusema with confidence, popote ambapo haki haitekelezwi ipasavyo, hapahitaji kuwa na mafuta kutokea kilichotokea Sudan Kusini!
Mbaya zaidi, Sudan Kaskazin wanaojiona ni Waarabu, ni Wabaguzi wa kutisha kuliko hata hao Waarabu wenyewe wa Middle East!!
Sasa unapokosa kutoa haki, hapo hapo ukiwabua wananchi wa taifa lako, matokeo yake ndo hayo ya kuwepo kilichopo hivi sasa!!
Hata hivyo, wakati mafuta sio chanzo cha Sudan mbili hizi kugawana nyama mbichi, sina shaka ni hayo mafuta ndiyo inaifanya Sudan Kusini isiwe imetulia hadi sasa licha kuwa wameshaachiwa nchi yao!! Sasa badala ya kupambana na mbaya wao, wamejikuta wakichapana wenyewe kwa wenyewe!!
Una any record kuwa CIA wanahusika na kugawanyika huko au ni viongozi wa kiafrika walivurugana wenyewe kawama abebeshwe mwingine?John Garang alitaka Sudan iwe moja,wadinka,Nuer,Warabu,Wanubi waishi na kufanya kazi pamoja.Priority ya CIA was to divide and rule ambayo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa, baada ya Sudan kusini kuwa huru kichobaki ni kuwapiganisha Wadinka na Nuer huku asilimia 90 ya pato la mafuta linatumika kununulia vifaa vya kivita.RIP John Garang.
hii ni point waafrika weng wanadanganywa na tawala zao pale zinapoferi , basi lawama wanazitupa kwa mabeberu , Hv jiuliz mtu alounda janjaweed kuua watu weusi bila kujali diniUna any record kuwa CIA wanahusika na kugawanyika huko au ni viongozi wa kiafrika walivurugana wenyewe kawama abebeshwe mwingine?
Ilikuwa vizuri Sudan kugawanyika, huwezi lazimisha watu wafuate dini na tamaduni ambazo hawazitaki.Kumbe Garang alikuwa mtu mzuri na aliona mbali.Lakini unajua tena nguvu za mabeberu.
Kweli kabisa mkuu. Hata katika ndoa kama mke na mume hawaelewani kila siku, basi ni vema wakatengana.Ilikuwa vizuri Sudan kugawanyika, huwezi lazimisha watu wafuate dini na tamaduni ambazo hawazitaki.
Kilichosababisha ni udini,,,wasudan wa kaskazini walitaka nchi iendeshwe au iwe ya kidini yaan ya kiislam wakat wasudan wa ksuini walikua wakristu na wengine na dini za kiasiri,, upendeleo wa rasilimali za nchi,uarabu na uafrica,,,mambo ni mengi hivo uasi ulikua mkubwa sanaHabari za wakati huu waungwana wa jamiiforums.
Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?
Ni kweli kwamba wazungu walijua kiburi cha Al Bashir kilitokana na hazina kubwa ya mafuta hivyo wakaamua kuchochea kujitenga kwa Sudan Kusini?
==========
View attachment 1775684
==========
Nchi ya Sudan Kusini ilipata uhuru wake kutoka kwa Sudan ya Kaskazini (binafsi ninapendaga kuiita Sudan ya Waarabu) mnamo mwezi Julai 9, mwaka 2011 kama matokeo ya makubaliano ya mwaka 2005 ambayo yalimaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa muda mrefu sana barani Afrika. Sudan Kusini ni moja wapo ya nchi kubwa zaidi barani Afrika kwa kuwa inaundwa na majimbo 10 makubwa nchini humo.
View attachment 1775694
HUKO BUNGENI MAREKANI MWAKA 1997
==========
Mnamo siku ya Alhamis tarehe 15 mwezi May mwaka 1997 katika bunge la Senate la Marekani, kulifanyika kikao cha kamati ya bunge ya masuala ya uhusiano wa kimataifa (Committee on Foreign Relations) ambapo kamati ndogo ya masuala ya Afrika (Subcommittee on African Affairs) ilikutana.
Bwana JOHN ASHCROFT aliyekuwa Seneta kutoka jimbo la MISSOURI alipewa fursa ya kuwasilisha report yake ndefu sana kuhusiana na tuhuma za taifa la Sudan Kufadhili makundi ya magaidi yanayojiita ni ya kiislam. Haya ndio baadhi ya maneno ya seneta Ashcroft katika report yake ile ndefu sana ya masaa 3 kuhusiana na taifa la Sudan;
View attachment 1777145
"Osama bin Laden anahamasisha jihad dhidi ya Marekani, na haswa dhidi ya wanajeshi wa Marekani huko Saudi Arabia. Bin Laden alikuwa amehifadhiwa na Sudan kwa karibu miaka 5, na alikuwa akihusika katika mashambulizi kwa wanajeshi wa Marekani huko Somalia, Saudi Arabia, hususan maeneo ya Riyadh na Dhahran.
Moja wapo ya hatari kubwa zaidi ya vitisho hivi vipya vya usalama wa taifa letu ni kuongezeka kwa ugaidi wa kimataifa. Tunafanya kikao hiki leo katika Kamati Ndogo ya Masuala ya Afrika kushughulikia hatari ya ugaidi inayofadhiliwa na Serikali ya Sudan.
Tangia mara ya kwanza ilipotambuliwa kama taifa la ufadhili wa shughuli za ugaidi mnamo mwaka 1993, Sudan imekua na kupanuka haraka katika shughuli za udhalimu na kufanana na Iran kama wafadhili wabaya zaidi wa ugaidi wa kimataifa.
==========
View attachment 1778931
==========
Sudan inahifadhi na kuficha makundi mengi ya kigaidi yenye vurugu zaidi ulimwenguni. Makundi kama yale ya Jihad, kikundi cha wanaojiita Waislam chenye silaha kali, Hamas, Abu Nidal, makundi ya Jihad ya Palestina, Hizbollah, na vikundi vingine vinavyojiita vya kiislamu vyote viko katika kambi za mafunzo ya kigaidi nchini Sudan.
Vikundi hivi vya kigaidi vinahusika na mamia ya mashambulio ya kigaidi ulimwenguni kote ambayo yamegharimu maisha ya maelfu ya raia wasio na hatia. Sudan sio tu mahali pa kwenda likizo kwa magaidi bali pia ni kiwanda cha kutotolea magaidi (Incubator for terrorist).
Serikali ya Sudan ndio msaidizi mkuu anayehusika na shughuli hizi za kigaidi. Kuna taarifa kuwa Sudan ilitoa silaha na nyaraka za kusafiri kwa wauaji waliomshambulia Rais Mubarak lakini hawakumuua.
==========
View attachment 1778932
==========
Wanadiplomasia wawili wa Sudan katika Umoja wa Mataifa huko New York walikula njama za kuwasaidia magaidi wanaojiita wa kiislam kuingia ndani ya eneo la Umoja wa Mataifa (UN) na kulipua jengo hilo"
SWALI: Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan?
Note: Ninajua humu JF kuna wataalam sana wa siasa za Afrika na dunia na watatusaidia sana katika kutupa taarifa zaidi. Karibuni sana wakuu.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Maoni ya wadau;
==========
==========
==========
Hapo ndio point iliko ..kwahiyo janjaweed ilundwa na CIA au Al Bashir maana walikuwa marafik na Al Bashir