Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha ChademaSamia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama SamiaChadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema
Rais Samia ni chuuuuuma cha mjerumaniTunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia
Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMATunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia
huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais SamiaRais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Samia
Ajenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Samia.Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.
Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?Ajenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Samia.
Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?
sawa mkuu alisomea urusi kwa vladimil putin. Mtoto wa millionair.Sawa mkuu. Alikuwa raia wa Venezuela kwa Hugo Chavez.
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Samia.Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.
Mkuu ni vile tu Rais Samia alitoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi wa kishindo ulikuwa lazima.Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Samia.
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.Mkuu ni vile tu Rais Samia alitoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi wa kishindo ulikuwa lazima.
Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera saaaana mama yetu Samia.Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
...... alisema kufika 2020 akina Chadema wangekuwa tayari mfu, sasa cha ajabu Chadema ndio walioshiriki kumzika yeye, sasa nani mshindi...??JPM kawanyoosha CHADEMA hawana hamu naye
Hii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mama.Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
Rais yetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadiHii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mama.