Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa Taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?

kwahiyo janjaweed ilundwa na CIA au Al Bashir maana walikuwa marafik na Al Bashir
 
Juba haitakuja kusimama kama Khartoum na mabomba ya mafuta yapo.Ni kama Congo haitasimama mpaka madini yaishe.Sudan kuwa Nchi moja ndiyo ingenufaika zaidi kwa kuwa na sera za umoja wa kitaifa na sheria kandamizi kufutwa.
sasa mtu anaunda janjaweed kuwaua wote weusi
 
Haya ndiyo madini ninayopenda kuyasikia
 
Una any record kuwa CIA wanahusika na kugawanyika huko au ni viongozi wa kiafrika walivurugana wenyewe kawama abebeshwe mwingine?
 
Una any record kuwa CIA wanahusika na kugawanyika huko au ni viongozi wa kiafrika walivurugana wenyewe kawama abebeshwe mwingine?
hii ni point waafrika weng wanadanganywa na tawala zao pale zinapoferi , basi lawama wanazitupa kwa mabeberu , Hv jiuliz mtu alounda janjaweed kuua watu weusi bila kujali dini
 
Ilikuwa vizuri Sudan kugawanyika, huwezi lazimisha watu wafuate dini na tamaduni ambazo hawazitaki.
Kweli kabisa mkuu. Hata katika ndoa kama mke na mume hawaelewani kila siku, basi ni vema wakatengana.
 
Kilichosababisha ni udini,,,wasudan wa kaskazini walitaka nchi iendeshwe au iwe ya kidini yaan ya kiislam wakat wasudan wa ksuini walikua wakristu na wengine na dini za kiasiri,, upendeleo wa rasilimali za nchi,uarabu na uafrica,,,mambo ni mengi hivo uasi ulikua mkubwa sana
 
kwahiyo janjaweed ilundwa na CIA au Al Bashir maana walikuwa marafik na Al Bashir
Hapo ndio point iliko ..

Ukiona mtu analalamika basi tambua kuwa anatafta kichak Cha kujifichia Kuna mahali hakutekeleza wajibu wake..Viongozi wa kiafrika hawatatui matatizo ya jamii zao wanasubiri waje waseme CIA walikula njama.

Mfano rahisi leo Muungano wetu ni tunaburuzana tu Pemba iko tofauti na tz yote kitamaduni na kiuchumi siku ikitokea Muungano umevunjika tutaleta mapdf kibao yakujustify kuwa CIA walianzaga kumfadhili maalimu seifu toka kitambo lakini ukweli ni kwamba serikali hazipo serious kutatua utofauti wa kimatabaka Kati ya jamii ya wapemba na kufikia hatua waliofika wengine
 
USA ni janga kabisa na vikundi vyake, atulie nchini mwake asifuatilie nchi nyingin kama democracy ibaki kwake tu .

Haya mambo ya globalization ndio yameleta huu ujinga , kila mtu akae nchini kwake asiingilie mambo ya wengine.
 
Wanafunzi wa Marekani hawaandamani kwa makundi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…