Ni nani alimtesa vile Rose Mhando?

Ni nani alimtesa vile Rose Mhando?

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Katika interview yake pale Clouds ameeleza situations mbalimbali alizopitia katika maisha za mateso na kuumizwa hata kupelekea kubaki na makovu ya mwili na rohoni.

Ni nani huyo mtu tishio kwa kiwango hicho? mpaka anaogopa kabisa kumtaja na anaishia kusema nimesamehe!

Japo tumjue tu, hata kwa picha pia wala si kwa ubaya maana amesamehewa na mhusika.
 
Alex days are numbered... Naona sasa hivi Rose kaamua kama mbwai naiwe mbwai...
Ila dada kapotezewa kilakitu ktk maisha yake, kabaki na roho tu...
Ifike mahali serikal ikae naye chini imsikilize na kumsaidia kupata haki zake...
Otherwise mtasikia rose kafa ghafla ila naamini huyu dada haki yake itapatikana tu kapitia magumu sana...
 
Alex Msami.
Mateso aliyompa yanaumiza sana
 
Katika interview yake pale Clouds ameeleza situations mbalimbali alizopitia katika maisha za mateso na kuumizwa hata kupelekea kubaki na makovu ya mwili na rohoni.

Ni nani huyo mtu tishio kwa kiwango hicho? mpaka anaogopa kabisa kumtaja na anaishia kusema nimesamehe!

Japo tumjue tu, hata kwa picha pia wala si kwa ubaya maana amesamehewa na mhusika.
Toka alivyoingia mkataba na Sony music ndio alipoanza haribikiwa maana hao ndio wazee wa industry... kawaulize aakina Michael Jackson na DMX na wengine wengi walivyoteseka na hao jamaa Sony.
 
Aisee huyu huyu wa Msama promotion? Aah aaah amemuumiza sn mwilini mama wa watu,hadi maumivu ya moyo anayo yule mama.Mtafuteni Rose muone alivyo na makovu ya kutishaaa.

Yani me ningeenda kuroga
According to wananzengo mkuu ila ukweli halisi anaujua yeye.
 
Alex days are numbered... Naona sasa hivi Rose kaamua kama mbwai naiwe mbwai...
Ila dada kapotezewa kilakitu ktk maisha yake, kabaki na roho tu...
Ifike mahali serikal ikae naye chini imsikilize na kumsaidia kupata haki zake...
Otherwise mtasikia rose kafa ghafla ila naamini huyu dada haki yake itapatikana tu kapitia magumu sana...
Kada achukuliwe hatua na Nani?

Back
Top Bottom