Ni nani alimtesa vile Rose Mhando?

Ni nani alimtesa vile Rose Mhando?

Ni watu waliokuwa wanasimamia kazi zake, ashawahi kuwataja zamani...

Lakini ukiacha hilo, yeye mwenyewe ni chanzo cha kufika hapo alipofika...

Alifanya muziki wa injili kuwa biashara kama muziki wa kina Chamelion, Mr Nice n.k maana ndio alikuwa anashindana nao umaarufu wakati huo...

Mungu akafanya yake (ukisoma sentensi hii usitumie akili ya kuvuka barabara kuielewa)
 
Shida ni Rose mwenyewe,
Alifanya biashara ya dini badala ya kueneza injili.
Kama ngono ilikuwa ni sehemu ya propeller yake, malipo halisi badala ya malipo wezeshi basi alikuwa mfanyabiashara wa dini
Amepata anachistahili,
Ni mfano kwa wengine usimletee MUNGU dhihaka
 
Ni kweli, huyo mzee alikuwa mafia hasa. Na tangu waachane Rose hajarudi kwenye level yake tena bila shaka kuna fuse watakuwa wameichomoa. Namwonea huruma sana anavyohangaika kwa hawa manabii mara Kenya kwa kina ng'ang'a mara kwa kina kuhani Musa etc lakini wapi. Hata akijitahidi kutoa ka wimbo, unasikika siku moja, maximum wiki moja humsikii tena. Mungu amsaidie sana.
Inaonekana kuna nguvu ya ziada ya mvuto alikua akupata kutoka kwa huyo meneja wake. Sasa hivi haipo ndio mana unaona hawiki tena kama awali
 
Kila binadamu ana capacity yake ya utendaji kazi. Alipokuwa na shows nyingi za kimataifa alikuwa hana muda wa kupumzika maana manager tayari alikuwa ameshachukua pesa za shows mbalimbali so ilibidi abwie madawa ili kazi ziendelee kwa ile style yake ya uchezaji bila kuwa Hi asingeweza.
Hapa nakubaliana na wew. Kuna kipindi ilifika yaani karibia Kila Jumapil ana show mbil au tatu kwa siku na n makanisa na mikutano tofaut. Kiasi alishindwa kwenda mpaka kuitwa tapel
 
Shida ni Rose mwenyewe,
Alifanya biashara ya dini badala ya kueneza injili.
Kama ngono ilikuwa ni sehemu ya propeller yake, malipo halisi badala ya malipo wezeshi basi alikuwa mfanyabiashara wa dini
Amepata anachistahili,
Ni mfano kwa wengine usimletee MUNGU dhihaka
Yeye alikua vizuri ila msimaiz wa kaz zake alikua tapel
 
Mimi nashindwa kuelewa, kwani wakati wanaandikiana mikataba ya kazi, Upande Rose Muhando yeye alikuwa na wakili wake? Kama hakuwa naye kwanini alikubali kuwana chini ya Msama production Wakati hakutimiza masharti ya mikataba ya kazi kama hizo? Anavuna alichopanda?
 
Back
Top Bottom