Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Karma itamlipa haki yake..Alex days are numbered... Naona sasa hivi Rose kaamua kama mbwai naiwe mbwai...
Ila dada kapotezewa kilakitu ktk maisha yake, kabaki na roho tu...
Ifike mahali serikal ikae naye chini imsikilize na kumsaidia kupata haki zake...
Otherwise mtasikia rose kafa ghafla ila naamini huyu dada haki yake itapatikana tu kapitia magumu sana...