Ni nani alimtesa vile Rose Mhando?

Karma itamlipa haki yake..
 
Amelalamika kwenye vyombo sahihi?au analamika tu ilimradi watu wasikie?,kwanini asishtaki rasmi
 
Duuuh, Dunia inamambo sana aisee. Yaani Kuna mengi nyuma ya pazia( there are alot behind the scene)
 
Nadhani alifungwa kiongozi. Ukifungwa huwezi kung'amua hata iweje. Ulimwengu wa roho ndiyo software ya maisha yetu. Ikicorrupt utaziona rangi zote Duniani hapa na hujui utokee wapi.
 
Watu wa hivyo ukiwasikiliza , unaweza sema Dunian Kuna watu wanyama, makatili, ukoo wa Shetani. Unaweza Anza kufunga, kukesha Kwa maombi, na kunena Kwa lugha.
Sasa anza kumuuliza, hayo mateso ni yapi, unyanyasaji upi, akikosa ushahidi anaanza kulia tu.
Kutafuta huruma za watu sio sanaa.
 
Toka alivyoingia mkataba na Sony music ndio alipoanza haribikiwa maana hao ndio wazee wa industry... kawaulize aakina Michael Jackson na DMX na wengine wengi walivyoteseka na hao jamaa Sony.
Aise

Ova
 
Toka alivyoingia mkataba na Sony music ndio alipoanza haribikiwa maana hao ndio wazee wa industry... kawaulize aakina Michael Jackson na DMX na wengine wengi walivyoteseka na hao jamaa Sony.
Kwamba Sony walikuwa na nguvu ya kumwongoza Michael Jackson pamoja na utajiri alionao??, uwe unatumia akili mda mwingine
 
Aisee huyu huyu wa Msama promotion? Aah aaah amemuumiza sn mwilini mama wa watu,hadi maumivu ya moyo anayo yule mama.Mtafuteni Rose muone alivyo na makovu ya kutishaaa.


Yani me ningeenda kuroga
Duh
 
Mshana Jr alipata kuandika jambo juu ya huyo mwimbaji ukiipata ile habari utajua jinsi dini zinavyotumika visivyo
 
Toka alivyoingia mkataba na Sony music ndio alipoanza haribikiwa maana hao ndio wazee wa industry... kawaulize aakina Michael Jackson na DMX na wengine wengi walivyoteseka na hao jamaa Sony.
Ukiwa kwenye music industry huwezi wakwepa hao bila kujali upo chini ya lebo ipi haijalishi unaimba injili au miziki ya kuzimu
 
Alisimulia kwamba ilikua usiku akiwa kwenye gari lake walimpeleka porini wakampa kichapo kitakatifu cha kuua mbwa mwizi mwisho wakachomoa bastora wakamwekea kichwani wakamwambia sali sala zako za mwisho leo tunakuua wakawasha moja juu kwanza kisha wakamwekea tena kichwani

Anasema kuna MZEE alikua anapitisha mifugo yake aliposikia mlio wa risasi akasogelea eneo lile na kupaza sauti ndio wale wauwaji wakakimbia wakamuacha mzima, cha ajabu hakuwashtaki na anawajua eti amewasamehe

Mtangaji akammind sana kasamehe kivipi anawasamehe wahalifu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…