Hiyo serikali tatu ilianzia nje na kabla ya Bunge la katiba; unasema ni ukawa kwa kupotosha au sababu ni nini? unakumbuka hadidu za rejea za timu Jaji Warioba? na pia kwanini ziwe tofauti na timu Chenge?Umoja wa Katiba ya Wananchi na wanasiasa wasiyo na maono, hawa waliharibu mchakato mzima, vile walitaka mfumo wa 3 serikali ya Tanganyika, zanzibar na Muungano badala ya 2 na kupelekea kususa kikao kama njia ya kushinikiza.
Hapo ndipo walipofanya kosa ambalo leo lina tugarimu wote.
Umepata wapi muda wakuandika ujinga hivi.kwani huo mchakato ulikua unasimamiwa na hao wanasiasa unaowasema. mambo ya wananchi kupata elimu mwenye jukumu la kwanza kabisa lakuhakikisha wananchi wake wanapata uelewa ni mwenye serikali.sasa unajifanya kuandika kishabiki wakati ni dhahiri mafisi emu ndio yaliyoharibu ule mchakato.Mchakato wa katiba uliharibiwa na wanasiasa wajinga waliotaka kupenyeza agenda zao ili waingie ikulu kirahisi matokeo yake yakaibuka malumbano na mwisho wa siku wenye mamlaka wakaamua wauzike tu...
Hata hawa wapiga kelele za katiba mpya ukiwauliza agenda zao utaona ni zilezile za maslahi ya kisiasa ili wapate urahisi wa kuingia madarakani lakini ukiwauliza hoja za msingi zenye manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi hawana...
Ukiwauliza ni lini mmeitisha maandamo ya watu kupewa elimu bure na bora, huduma za afya bure, fao la kujitoa, kuboreshwa kwa pension za wazee wetu nk nk...
Unge watag ccm wanajua kila kitu walianzisha wao wakavuruga wao, Hii nchi tangu tupate uhuru tunatawaliwa ccm ni vema ungewapigia simu au watumia email utapata majibu serekali ni moja tu ya ccm swala nini alianzisha nani vuguru ni wao wenyeweMnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Wajane mna kazi sana... poleni.Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Waulize Uvccm wakiongozwa na bashite waliompiga vibao mzee jaji Warioba na mtisha asiendelee na mchakato wa katibaWaliharibu wapinzani UKAWA kwa vile walitaka serikali 3 badala ya 2 na hivyo kususa kikao kama njia ya kushinikiza. Hapo ndipo walipofanya kosa la kiufundi kubwa. Laiti wangekubali kwenda by peace meal wakaanza na madaraka ya Rais, Tume ya uchaguzi, upatikanaji wa wabunge, mgombea binafsi, nk wakaruka maeneo magumu halafu 5 years later wakayarudia kwa agenda mpya. Pushing by bits. Wangefanikiwa sasa hivi tungekuwa mbali sana. Hii ndiyo mbinu ya majadiliano magumu. You dont push for everything rather moving strategically in win win situation.
Heshima yako mkuu. Umesema sahihi kabisa kuwa ni katiba pendekezwa. Inaelekea CCM wao kwa wao viliumana. Ikashindikana. Pengine sababu haikuwa ndani ya ilani ya uchaguzi. Ilianzishwa juu kwa juu...Katiba pendekezwa iliyoandikwa na CCM iko wapi?
..Kwanini hawaileti kwa wananchi kwa hatua zinazofuata?
..Au, CCM hawaitaki tena katiba waliyoiandika wao wenyewe?
..Kitendo cha CCM kuifungia kabatini katiba iliyopendekezwa ndio kinawapa wapinzani uhalali wa kudai katiba mpya kama ilivyopendekezwa na TUME YA WARIOBA.
Uwezi kutengeneza katiba unayoitaka wewe katiba ni yetu wote maoni ya watu wengi ni Serekali tatu unazikwepa vipi? Hii ni nchi sio campuny kusikiliza maoni ya watu wachache wenye share nyingi uwezi kutengeneza katibu unayoitaka weweHawakutaka serikali tatu. Ubishi na ujuaji uliua ile nia ya katiba. mara nyingine tujifunze kuwa humble. Kuna yaliyokuwa yanawezekana kwenye ile katiba kwa wakati ule. Yale yangefanyika. Yasiyowezekana yangeachwa pembeni ili wakati muafaka ukifika, nayo yapatiwe maamuzi.
Ujuaji na ego za watu ndio zimeharibu
Wajane mna kazi sana... poleni.
Tumeambiwa tuwapende, kuwatunza na kuwavumilia....
Poleni kwa kifo cha mme wenu. Yote ni mipango ya Maulana
Mzee serikali ziko mbili tu. Hiyo serikali tatu muulizie warioba amefika nayo wapi. Mbona hamuelewi nyie waja? Nchi sio kampuni. Ila nchi sio ya kwako peke yako pia. Ukiongea kama wewe ndio mwenye nchi unakoseaUwezi kutengeneza katiba unayoitaka wewe katiba ni yetu wote maoni ya watu wengi ni Serekali tatu unazikwepa vipi? Hii ni nchi sio campuny kusikiliza maoni ya watu wachache wenye share nyingi uwezi kutengeneza katibu unayoitaka wewe
Walioharibu mchakato wa katiba mpya ni CCM chini ya Mhe. Kikwete. Kikwete kama rais na mwenyekiti wa CCM alipinga vikali baadhi ya maoni ya Kamati ya Mzee Warioba; na hapo ndipo mgogoro ulianzia.Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Uzuri baba yangu bado yuko hai na yuko vizuri kabisa na mama yangu. Na bahati nzuri baba yangu hana tabia za ubasha mpaka aje akutafute akufanye nyumba ndogo....Kumbe nawe ume experience hili? Usijali mama yako kwa sasa amesahau machungu ya kumpoteza baba yako. Namtunza vizuri. Anaenjoy kila kitu....😁
Mchakato unaeleweka alieuanzisha alimaliza mkataba wake kabla hajaumalizia shida imetokea kwa aliepokea kijiti.Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Achana na hili chizi! Huwezi uliza swali,kabla hujajibiwa ukaanza kutukana watu. Halaf moderator sijui wako wapi siku hizi...wangefutilia mbali uzi kama huu mapema tuNani aliyeharibu mchakato? Aliharibuje? Nani alieandaa sherehe Dodoma za Kupokea rasimu ya Katiba? Wajumbe walikua akina nani? Ccm iliwakilishwa na akina nani?
PANYA BUKU WA LUMUMBAMnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Mleta mada tunaomba picha yako tufahamiane