Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
No, Lahasha. Ni kweli lazima tukubaliane na kupanuka ki demokrasia, ila utaona mikoa ya mipakani mwa nchi yetu ndio imejitoa muhanga zaidi katika hilo kutokana na mifano flani flani ya nchi za kando mwake. Tukumbuke kwamba siasa safi na uongozi bora sio lazima zitoke vyama vya siasa mbadala (sipendi kuita upinzani), watanzania wa chama chochote wanayo haki ya kuchagua wanachohitaji kwa muda waupendao. My thinking is we probaly need change we do not know yet! thanks
 
Issue ya udini sijui inatoka wapi maana ktk uchaguzi huu mimi sijaiona japo wakati wa kampeni kidogo suala hili lilitaka kujitokeza lakini lilikemewa vikali.
 
Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, Hususan CCM na CUF na CHADEMA Anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni Tanzania.

Kama wasingevipigia hivyo vyama ulitaka wavipigie kura vyama vipi?

Tuwe tunafikiria kidogo jamani kabla ya ku-post...na kwa nini kila wakati Waislam Waislam what's so special about WAISLAM?
 

enyi watu wa uwt mmeiba kura zetu halafu mmekuja kujiunga jf kwa wingi kutuletea maneno ya kutuchanganya. Tazama join date zenu, mpo wengi kweli. ninyi watu wa uwt ni wauaji wakubwa kwa tamma za kung;ang;ania madaraka na fedha mkaingiza hoja za udini na ukabila pasipo kujali athari za mambo hayo.
mmemaliza kutuibia kura tulieni mfaidi pesa mlizolipwa kwa kununua magari mkeshe katika foleni masaa matatu asubuhi na jioni kila siku. Kuishi kwa kuchota maji kama vile tuko vijijini n.k
 
Aisee,Inasikitisha kuona watu mnazungumzia uislamu na ukristo. Tanzania tunaelekea kubaya. Kama mtu mwenye upeo atleast wa ku-register jf anawaza katika uelekeo huu,jee darasa la nne na la saba kule mtaani inakuwaje? Tukemee ukabila na udini jamani kwa nguvu zote.
 

jamani kabla ya kuchangia tutazame join date za wezi hawa wa kura zetu. Nia yao ni kutuchanganya baada ya kuiba kura zetu.
 
Kura ya Mkristo au Mwislamu inafananaje? Wenje wa Nyamagana ana kabila yake yupi pale CHADEMA? Ufisadi ulivyoitafuna CCM haulioni hilo? JK na kampeni zake za BMW( Baba, Mama na Watoto) haukuliona? Kura za maoni za CCM zilivyowagawa nalo haukuliona? Ajira kwa vijana nalo haulioni? Matumizi mabaya ya kodi zetu pia haulioni? Umasikini unaoongezeka miongoni mwa Watanzania hauuoni? Huduma mbovu za kijamii kama Elimu, Maji, Afya navyo hauvioni? Utajiri usio na maelezo wa wanasiasa wetu wa CCM hauuuoni pia!?
Unakimbilia UDINI na UKABILA!!
 
Kupata Ubunge Musoma Mjini kuna ukabira gani??. Wizi wa CCM ndo umebuni hiyo njama ili ionekane kuwa CHADEMA inamaeneo maalumu. Chadema ina kubalika kote.
 
We ndo unaanzisha udini. Hatutaki kusikia habari hizi. So stupid
 

Sasa mbona huo udini na ukabila katika siasa umeuona kwa CHADEMA tuu.Ninawasiwasi wewe sio mchambuzi yakinifu.
 
Huyu anachanganya watu wala si ugeni JF,lakini ana haki ya kuongea!hv hizi DINI mnazozungumzia mnazijua kweli ,kama mnazijua mnazifuata,kama mnazifuata mbona matokeo hatuyaoni ,hawa wanaohubiri udini sana sana ,utakuta hawali nguruwe,wamefunga ndoa na mwanamke mmoja kanisani,whawavuti sigara,Lakini ndio mafisadi wa kutupa !
 

We are in need of change!! A really change. But the problem is thus .. If you critically look around you see nothing worthy...the only thing we see is just a shadow or rather a replication of what we have but in different names and hue...
 
Haya mawazo ni ya taahira tu na si vinginevyo
 

Ndo umeona kufurahia kujiunga na JF ni ku-post thread zisizo na kichwa wala miguu????????????????
 

are u upstairs normal?au na wewe ni kilaza mwingine?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…