Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
No, Lahasha. Ni kweli lazima tukubaliane na kupanuka ki demokrasia, ila utaona mikoa ya mipakani mwa nchi yetu ndio imejitoa muhanga zaidi katika hilo kutokana na mifano flani flani ya nchi za kando mwake. Tukumbuke kwamba siasa safi na uongozi bora sio lazima zitoke vyama vya siasa mbadala (sipendi kuita upinzani), watanzania wa chama chochote wanayo haki ya kuchagua wanachohitaji kwa muda waupendao. My thinking is we probaly need change we do not know yet! thanks
 
Issue ya udini sijui inatoka wapi maana ktk uchaguzi huu mimi sijaiona japo wakati wa kampeni kidogo suala hili lilitaka kujitokeza lakini lilikemewa vikali.
 
Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, Hususan CCM na CUF na CHADEMA Anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni Tanzania.

Kama wasingevipigia hivyo vyama ulitaka wavipigie kura vyama vipi?

Tuwe tunafikiria kidogo jamani kabla ya ku-post...na kwa nini kila wakati Waislam Waislam what's so special about WAISLAM?
 
matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za tanzania. Chadema wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni kilimanjaro, kanda ya ziwa, iringa na rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na dini na makabila hayo. Pia ccm imetetereka baada ya mfumo uliokuwa unakipa nguvu kuhamia chadema. Ccm imeendelea kushinda kwa sababu mfumo huo haujaondoka wote, bali nusunusu. Mwaka 2015, chama tawala kinaweza kuwa chadema ikiwa mfumo huo wote utahamia chama hicho, lakini hakitatofautiana na ccm ya juzi na jana. Cuf imeendelea kubaki nafasi yake ileile kwa sababu imeshindwa kupokewa na mfumo ulioistawisha ccm. Cuf imeendelea kubakishwa ilipo kutokana na wapenzi na wanachama wake kuwa ving'ang'anizi wa mfumo wao wanaouona haufanani na vyama vingine. Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, hususan ccm na cuf na chadema anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni tanzania.

enyi watu wa uwt mmeiba kura zetu halafu mmekuja kujiunga jf kwa wingi kutuletea maneno ya kutuchanganya. Tazama join date zenu, mpo wengi kweli. ninyi watu wa uwt ni wauaji wakubwa kwa tamma za kung;ang;ania madaraka na fedha mkaingiza hoja za udini na ukabila pasipo kujali athari za mambo hayo.
mmemaliza kutuibia kura tulieni mfaidi pesa mlizolipwa kwa kununua magari mkeshe katika foleni masaa matatu asubuhi na jioni kila siku. Kuishi kwa kuchota maji kama vile tuko vijijini n.k
 
Aisee,Inasikitisha kuona watu mnazungumzia uislamu na ukristo. Tanzania tunaelekea kubaya. Kama mtu mwenye upeo atleast wa ku-register jf anawaza katika uelekeo huu,jee darasa la nne na la saba kule mtaani inakuwaje? Tukemee ukabila na udini jamani kwa nguvu zote.
 
no, lahasha. Ni kweli lazima tukubaliane na kupanuka ki demokrasia, ila utaona mikoa ya mipakani mwa nchi yetu ndio imejitoa muhanga zaidi katika hilo kutokana na mifano flani flani ya nchi za kando mwake. Tukumbuke kwamba siasa safi na uongozi bora sio lazima zitoke vyama vya siasa mbadala (sipendi kuita upinzani), watanzania wa chama chochote wanayo haki ya kuchagua wanachohitaji kwa muda waupendao. My thinking is we probaly need change we do not know yet! Thanks

jamani kabla ya kuchangia tutazame join date za wezi hawa wa kura zetu. Nia yao ni kutuchanganya baada ya kuiba kura zetu.
 
Kura ya Mkristo au Mwislamu inafananaje? Wenje wa Nyamagana ana kabila yake yupi pale CHADEMA? Ufisadi ulivyoitafuna CCM haulioni hilo? JK na kampeni zake za BMW( Baba, Mama na Watoto) haukuliona? Kura za maoni za CCM zilivyowagawa nalo haukuliona? Ajira kwa vijana nalo haulioni? Matumizi mabaya ya kodi zetu pia haulioni? Umasikini unaoongezeka miongoni mwa Watanzania hauuoni? Huduma mbovu za kijamii kama Elimu, Maji, Afya navyo hauvioni? Utajiri usio na maelezo wa wanasiasa wetu wa CCM hauuuoni pia!?
Unakimbilia UDINI na UKABILA!!
 
Kupata Ubunge Musoma Mjini kuna ukabira gani??. Wizi wa CCM ndo umebuni hiyo njama ili ionekane kuwa CHADEMA inamaeneo maalumu. Chadema ina kubalika kote.
 
We ndo unaanzisha udini. Hatutaki kusikia habari hizi. So stupid
 
Matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za Tanzania. CHADEMA wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa, Iringa na Rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na dini na makabila hayo.

Sasa mbona huo udini na ukabila katika siasa umeuona kwa CHADEMA tuu.Ninawasiwasi wewe sio mchambuzi yakinifu.
 
Huyu anachanganya watu wala si ugeni JF,lakini ana haki ya kuongea!hv hizi DINI mnazozungumzia mnazijua kweli ,kama mnazijua mnazifuata,kama mnazifuata mbona matokeo hatuyaoni ,hawa wanaohubiri udini sana sana ,utakuta hawali nguruwe,wamefunga ndoa na mwanamke mmoja kanisani,whawavuti sigara,Lakini ndio mafisadi wa kutupa !
 
No, Lahasha. Ni kweli lazima tukubaliane na kupanuka ki demokrasia, ila utaona mikoa ya mipakani mwa nchi yetu ndio imejitoa muhanga zaidi katika hilo kutokana na mifano flani flani ya nchi za kando mwake. Tukumbuke kwamba siasa safi na uongozi bora sio lazima zitoke vyama vya siasa mbadala (sipendi kuita upinzani), watanzania wa chama chochote wanayo haki ya kuchagua wanachohitaji kwa muda waupendao. My thinking is we probaly need change we do not know yet! thanks

We are in need of change!! A really change. But the problem is thus .. If you critically look around you see nothing worthy...the only thing we see is just a shadow or rather a replication of what we have but in different names and hue...
 
Matokeo ya uchaguzi yamedhihirisha udini na ukabila unavyoota mizizi katika siasa za Tanzania. CHADEMA wamepata ushindi katika maeneo ya wakristo wengi na makabila fulani fulani tu. Maeneo hayo ni Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa, Iringa na Rukwa. Hii inatokana na safu za uongozi wa juu kutokana na dini na makabila hayo. Pia CCM imetetereka baada ya mfumo uliokuwa unakipa nguvu kuhamia CHADEMA. CCM imeendelea kushinda kwa sababu mfumo huo haujaondoka wote, bali nusunusu. Mwaka 2015, chama tawala kinaweza kuwa CHADEMA ikiwa mfumo huo wote utahamia chama hicho, lakini hakitatofautiana na CCM ya juzi na jana. CUF imeendelea kubaki nafasi yake ileile kwa sababu imeshindwa kupokewa na mfumo ulioistawisha CCM. CUF imeendelea kubakishwa ilipo kutokana na wapenzi na wanachama wake kuwa ving'ang'anizi wa mfumo wao wanaouona haufanani na vyama vingine. Waislamu wameendelea kuvichangia vyama vyote kura zao, Hususan CCM na CUF na CHADEMA Anayebisha ukweli huu ni kama anabisha kuwa asili ya watanzania ni Tanzania.

Ndo umeona kufurahia kujiunga na JF ni ku-post thread zisizo na kichwa wala miguu????????????????
 
are u upstairs normal?au na wewe ni kilaza mwingine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom