nkosiyamakosini
Member
- Nov 4, 2010
- 83
- 2
No, Lahasha. Ni kweli lazima tukubaliane na kupanuka ki demokrasia, ila utaona mikoa ya mipakani mwa nchi yetu ndio imejitoa muhanga zaidi katika hilo kutokana na mifano flani flani ya nchi za kando mwake. Tukumbuke kwamba siasa safi na uongozi bora sio lazima zitoke vyama vya siasa mbadala (sipendi kuita upinzani), watanzania wa chama chochote wanayo haki ya kuchagua wanachohitaji kwa muda waupendao. My thinking is we probaly need change we do not know yet! thanks