Mungi bana mimi huwa sipendelei sana kujadili udini ktk style hii.Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.
Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.
Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.
Katika hili nani mwenye udini?
Pumba tutu ......................................
Mungi bana mimi huwa sipendelei sana kujadili udini ktk style hii.
Viongozi wengi kuwa wa dini moja kwangu mimi sio tatizo hasa kama wana sifa za uongozi(Rejea kauli ya ayati Nyerere)
Tatizo kwangu ni kuwalaghai raia kuwa wamchague mtu kutokana na dini yake.
Hapo mimi ndo sipataki.
[SIZE=3 said:Mungi[/SIZE];1225171]Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.
Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.
Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.
Katika hili nani mwenye udini?
Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.
Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.
Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.
Katika hili nani mwenye udini?
na Ukabila CCM ndo inaongoza:Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.
Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.
Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.
Katika hili nani mwenye udini?
point point pointmungi bana mimi huwa sipendelei sana kujadili udini ktk style hii.
viongozi wengi kuwa wa dini moja kwangu mimi sio tatizo hasa kama wana sifa za uongozi(rejea kauli ya ayati nyerere)
tatizo kwangu ni kuwalaghai raia kuwa wamchague mtu kutokana na dini yake.
Hapo mimi ndo sipataki.