Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 264
Tangu Dr Slaa alipotangaza mapungufu ya matokeo, Kinana amekuwa akiweweseka kama kuku anayetaka kutaga. Ghafula anazunguka kila kituo cha tv akitangaza kwamba Slaa amesomea upadri na ni mkatoliki. Haya ndiyo maneno yaliyotawala wakati wa kampeni. Hivyo inaonekana yeye ndiye alikuwa mwasisi wake.
Hivi kuwa mkatoliki na kuwa padri ni uvunjivu wa Katiba ya jamhuri? Hivi hiyo ndiyo sifa kuu pekee ya dr Slaa? Fitna dhidi ya Ahmed Salim na Warioba mwaka 2005 zilitoka kwa nani? Lengo la kinana na ccm ni nini?