Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Tangu Dr Slaa alipotangaza mapungufu ya matokeo, Kinana amekuwa akiweweseka kama kuku anayetaka kutaga. Ghafula anazunguka kila kituo cha tv akitangaza kwamba Slaa amesomea upadri na ni mkatoliki. Haya ndiyo maneno yaliyotawala wakati wa kampeni. Hivyo inaonekana yeye ndiye alikuwa mwasisi wake.

Hivi kuwa mkatoliki na kuwa padri ni uvunjivu wa Katiba ya jamhuri? Hivi hiyo ndiyo sifa kuu pekee ya dr Slaa? Fitna dhidi ya Ahmed Salim na Warioba mwaka 2005 zilitoka kwa nani? Lengo la kinana na ccm ni nini?
 
Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.

Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.

Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.

Katika hili nani mwenye udini?
 
Si unajua tena? Kinana ni Msomali na Somalia ni Al Kaida kwa asilimia kubwa?
Udini ni sera ya Al Kaida. Kabla ya Osama Bin Laden, Waislamu na Wakristu na wafuasi wa dini nyingine tuliishi kwa amani na upendo na ujirani mwema.

Lakini Osama amebadilisha hayo yote. Kama jina lake linavyoonyesha, Osama kwa kiarabu lina maana ya Uhasama, uadui, ugomvi.

Kuna hoja ambayo haijapingika kuwa Osama na Al Kaida yake ni wafuasi wa shetani na wanatekeleza matakwa yake kwa kutumia mgongo wa Dini. Raha ya shetani ni watu wagombane, wauane. Lengo la Al Kaida ni kuhamasisha uhasama, uadui na ugomvi ili shetani avune. Na bustani yao ni elimu finyu ya wafuasi wake ambao wengi wameishia madrasa tu au msingi basi. Kwao, haijalishi aliyeuawa ni wa dhehebu gani. Ndio maana wanaouawa na Al Kaida karibu wote ni waislamu wenzetu.

Kwa Kikwete kuwatumia wahubiri wa udini akitumaini kuvuna support ya dehehebu moja ameimarisha makucha ya Al Kaida na kuiweka nchi katika hatari ya kuelekea Somalia, Afganistan na Pakistan. Ukikiruhusu kidole kimoja tu cha shetani ndani ya hema kinatosha kukutoa nje naye shetani akaliteka hema lote. Huyu mdudu wa Al Kaida na udini wake siyo wa kucheza naye!
 
Tuna kazi ya kufichua maovu ya kinana na kuyaweka hadharani ili kumkata makali.Kinachonipa moyo safari hii chadema tuna jeuri kwani tumepeleka wabunge very proactive.Sisi kazi yetu ni search maovu ya kina kinana na kuyawasilisha kwa vijana wetu waheshimiwa, safari hii moto wa gas utawaka
 
Mkuu niko na wewe asilimia 200 angalia hata zanzibar maalimu anasain matokeo hata bila kuuliza kama kumetendeka haki
 
Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.

Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.

Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.

Katika hili nani mwenye udini?
Mungi bana mimi huwa sipendelei sana kujadili udini ktk style hii.
Viongozi wengi kuwa wa dini moja kwangu mimi sio tatizo hasa kama wana sifa za uongozi(Rejea kauli ya ayati Nyerere)
Tatizo kwangu ni kuwalaghai raia kuwa wamchague mtu kutokana na dini yake.
Hapo mimi ndo sipataki.
 
Pumba tutu ......................................

asilimia 90 ya members waliojiunga kuanzia October hadi sasa inaonekana ni makanjanja wa ccm. Uelewa wao wa mambo ni mwembamba sana. Wametumwa kazi moja tu, kuvuvuzela badala ya kujadili
 
Mungi bana mimi huwa sipendelei sana kujadili udini ktk style hii.
Viongozi wengi kuwa wa dini moja kwangu mimi sio tatizo hasa kama wana sifa za uongozi(Rejea kauli ya ayati Nyerere)
Tatizo kwangu ni kuwalaghai raia kuwa wamchague mtu kutokana na dini yake.
Hapo mimi ndo sipataki.

Ni kweli nakuunga mkono!
 
[SIZE=3 said:
Mungi[/SIZE];1225171]Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.

Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.

Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.

Katika hili nani mwenye udini?

Ivi wakiambiwa watanzania watoke mbele na wewe MUNGI utatoka mbele, wee si mkenya safi tu, umeshawapiganisha Kenya then unataka kuhamia Tz uwapiganishe, hatupigani katu. Wewe ni miongoni mwa waliochangia kwa kiasi kikubwa Slaa na Chadema kupoteza kura nyingi za urais kutokana na threads za namna hii. So now unafanya maandalizi kwa ajili ya 2015 siyo? Achana na threads za kipumbavu kama hizi wewe hii Serikali ya Tanganyika huijui, unamjua IGP tu so please usitupeleke huko. Kwani lazma upost thread yoyote hata kama hai-add value yoyote kwa jamii?
 
Ukwel unauma ,jk ni mdini goja tusubiri mahakama ya kadhi na OIC tu.
 
kama hao wadini wa kikwete wangekuwa wanachapa kazi kwa ufanisi mimi nisingekuwa na shaka kabisa lakini wanafanya madudu kweli kweli hadi inatia aibu, pia sio suala la udini bali hata ushkaji na ufamilia kuanza ridhiwani,miraji,hawa ghasia zakia meghj,rostam,membe,kawambwa,masha,na wengineo
 
MUNGI - huna jipya leta maada za maana sio UTUMBO wako huo unatujazia inzi hapa janvin
 
UDINI!!!!!hivi hujamuona huyo jamaa yako Slaa alivyowaweka wachungaji kugombea nafasi za ubunge hapo mawaziri wangekuwaje? na nyie wachunga kondoo nini kunako siasa??????
Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.

Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.

Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.

Katika hili nani mwenye udini?
 
Wakati wa kampeni tulimsikiliza Mh. Kikwete akisema kuna vyama vinahubiri udini, hususan alikuwa analenga CHADEMA na CUF. Nimegundua yeye ndiyo alikuwa anahubiri udini kutokana na structure ya CCM kuwa ya udini udini.

Ukiangalia mfumo mzima unaonyesha chama kinaongozwa na jamii ya kiislamu, ukianzia na Mwenyekiti, Katibu Mkuu. Vilevile tumeona kampeni zake zimesimamiwa kidini, Kinana na Tambwe Hiza nk. Hata wakuu wa Mikoa, Waislamu wako 19 kati ya 26, wakuu wa wilaya 3/4 ni waislamu.

Wizara nyeti Serikalini Waislamu wameishika. Mpaka IGP walewale.

Katika hili nani mwenye udini?
na Ukabila CCM ndo inaongoza:

Hesabu wakuu wa mikoa wachagga, ma-rpc-wachagga......................................................-> -> ->:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
tikushatoka huko tuendelee na wengineo.... kuna walokole wangapi? siasa kali wangapi? siasa pole... itikadi kali... masalia.... chipolopolo..... kisha tujiulize idadi ya wagombea urais wachagga kwanini huwa inakuwa kubwa!!! tujiulize tena kwanini mabinti wa kichagga ndio wanaoolewa sana na viongozi kuliko kabila zingine.... zamani ilikuwa wapare:smile-big: ukishapata hayo majibu UKABILA, UDINI, ACADEMIA na CHIPOLOPOLO vitaisha:smile-big:
 
mungi bana mimi huwa sipendelei sana kujadili udini ktk style hii.
viongozi wengi kuwa wa dini moja kwangu mimi sio tatizo hasa kama wana sifa za uongozi(rejea kauli ya ayati nyerere)
tatizo kwangu ni kuwalaghai raia kuwa wamchague mtu kutokana na dini yake.
Hapo mimi ndo sipataki.
point point point
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom