Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Asante Chiefm Tz
Mbona hajamkemea Padri Slaa kwa wizi wa mke wa mtu? au huo si uovu! Kama anaiba mtu mwenzie angekwenda ikulu si hazina angeikausha? Bwana pengo wizi wa mke wa mtu pia ni ufisadi mbaya ukemee tukusikie

kama unataka kuanza kumpangia Pengo hotuba si uende ukaombe ukatibu! Japo ata nusu sifa moja kati ya zikubalikazo huna! Au unataka aongee unayofikiria wewe?na atajuaje kama unafikiria icho,mana yeye aongozwi na majini kama mkwere flani kwa akina shee yahya na prof.maji marefu? Acha akemee anachojua kwanza!
 
hongera mh pengo. Lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. Na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. Zinduka
salaama aleikhum. Nafikiri unazidi kutuaibisha sisi waislamu kwa kauli zako za udini. Na unaiaibisha sana dini yetu ya kiislamu kwa chuki zako dhidi ya jamaa zetu wakristo,dini yetu ni ya mapendo. Huwezi ku post bila kuweka chuki???? Hawa wakristo kweli ndugu yangu mbele ya macho yako hawana jema, hujawahi kusaidiwa na mkristo? Au kama sio wewe jirani yako au ndugu yako hajawahi kusaidiwa na hao wakristo????!!!!! Please acha hiyo tabia haijengi
mbona pengo ndio aliosema kuwa ccm ni kichaka cha majambazi wakati mkapa akiwa raisi? Au umesahau kuwa kmapa ni mkristo tena ni mkatoliki.
Kaka hatuwezi kujenga jamii nzuri ya tanzania kwa kuangalia dini ya mtu, angalia point ipi na usiangalie katoka dini gani au chama gani au kabila gani.
Masaalamu

Hongera mh Pengo. lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. zinduka

nenda kwenye thread ya pinda uone kule tunavyo mshambulia (Peter Kayanza Mizengo Pinda) sijui ni mpagani, kafiri au ni mkristo
 
Asante Chiefm Tz
Mbona hajamkemea Padri Slaa kwa wizi wa mke wa mtu? au huo si uovu! Kama anaiba mtu mwenzie angekwenda ikulu si hazina angeikausha? Bwana pengo wizi wa mke wa mtu pia ni ufisadi mbaya ukemee tukusikie

Angechukua Mbuzi ndio tungemshangaa lakini loose ball endelea kumfanyia insafu huyu anaona donge utakufa na kijiba cha roho hayo hakuanza huyo kama sivyo soma maisha ya mitume nimeamini Mwendawazimu si lazima abebe kiroba cha mavi utamjua kwa kuongea kwake utamjua tu huyu kinyamkera huyu mwenembago utajua pia hili ni jini maalun kavaa uso wa binadamu chuki binafsi mchukieni lakini haki yake mpeni utafikiri kakuzibia njia usipite hayo mambo ya kike wewe mwanaume hayakufai au una roho ya kikeni.......
 
Huyo mchumba wa Slaa ni mtu mzima kwa hiyo alikuwa na uwezo wa kukubali au kukataa kuanzisha urafiki na Slaa, yeye aliamua kuwa rafiki. Kwa upande mwingine, mafisadi wanabaka mali ya watanzania kupitia kutotii viapo vyao vya kazi na ahadi watailinda katiba ya jamhuri. Zaidi ya hapo wanapora mali asili na fedha za nchi kupitia nafasi na nyadhifa zao. Kalamazoo, angalia hizo tofauti ubainishe kuwa kuanzisha urafiki na mke wa mtu ni tofauti kabisa na ufisadi utokanao na kudharau kiapo cha kazi na kuiba mali ya umma, na mara kwa mara kwa gharama ya kudidimiza huduma zitolewazo. Athari za ufisadi utaziona kwa watoto kurundikana darasani, wamekaa chini hjawana waalimu, wagonjwa kulazwa wawili hata watatu kitanda kimoja bila kujali aina ya magonjwa, barabara kutokamilika, mrahaba wa wachimba dhahabu wa asilimia tatu wakati Botswana hapo jirani ni asilimia 45. Ufisadi ni tatizo la kiuchumi lakini la kupoka mke wa mtu ni la kisosholojia!!

MS haelewi hilo somo kwa kuwa ni dini flani!!!
 
[COLOR=red said:
Malaria Sugu;1339641]Hongera mh Pengo. lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. zinduka[/COLOR]

Tafuta data kwanza, usitoe mawazo kwa hisia. Manake jamaa amewahi kuponda ata enzi za Mkapa!

Angalia sana mkuu, manake hisia za udini mara nyingine zinaweza kuathiri uwezo wa mtu kuchambua mambo!
 
Gazeti la Mwananchi la leo linatupasha habari ya kuwa kinyume na wanasiasa wachovu ndani ya CCM ambao wamekuwa wakitumia msamiati wa udini ili kuzuia raia kukemea maovu kwenye jamii, Mheshimiwa Kardinali Pengo ametoa tamko kuwa kukemea uovu siyo udini...

Hii tafsiri imekuja wakati muafaka kwani kwenye chaguzi hii iliyokwisha baadhi ya makada wa CCM wenye kukabiliwa na tuhuma nzito za ufisadi wamekuwa wakitumia kauli mbiu ya udini ili kuzima mijadala nyeti ya kitaifa dhidi ya matendo yao na hivyo kudhoofisha uwajibikaji serikalini...

Unafiki wa viongozi wa dini kama wakina Pengo niwa kuogopa sana. Pale kanisa lake na wasaidizi wake walipokuwa wanampigia debe Slaa kuwa huyu ni mwenzetu yeye alikuwa wapi? na mie ni shuhuda wa hilo kwa nilikuwa live kanisani . PENGO ACHA UNAFIKI LISAFISHE KANISA KWANZA !
 
Pumbafu! Hizi ni Pumba zenye Craps mingi
 
Mi nadhani JK mwislam alitakiwa amudabishe Edward Lowassa mkristo kisha amschape Basil Mramba mkristo baada ya hapo amfuate mwislam mwenzake Rostam kisha kwa Chenge Mkristo, amtafute Mkapa mkristo amuulize nini issue ya kiwira bila jibu zuri mahakamani mtu kama Daniel Yona na Mgonga badaye Meghji, huku akituondolea takataka kama Makongoro Mahanga, Steve Wasira wakristo kwenye hii serikali lakini naona JK muoga na mdini anakimbilia kusema taifa lipo kwenyeTATIZO la udini. nilidhani alitakiwa kusema taifa limeingia kwenye tatizo kubwa la ufisadi lakini matokeo yake anawachekea na kuwaombea kura ili wale wote pamoja. Makamba = MS

Jamani masuala siku hizi yanaangaliwa kwa jicho la kidini zaidi?
 
Asante Chiefm Tz
Mbona hajamkemea Padri Slaa kwa wizi wa mke wa mtu? au huo si uovu! Kama anaiba mtu mwenzie angekwenda ikulu si hazina angeikausha? Bwana pengo wizi wa mke wa mtu pia ni ufisadi mbaya ukemee tukusikie

Sasa hapa Slaa anaingiaje? Mijitu mingine bana!
 
Wataingi kwa njia moja watatoka wa njia saba, subiri mutaona
 
mkuu utacheka sana akiiweka kwenye mayai

Pengo aliongea lugha ambayo waTZ wengi wanaongea NAMUOMBA AENDE HATUA MOJA MBELE KAMA YOHANA MBATIZAJI ALIYE MKEMEA HEROD SASA YUKO PEPONI AWAENDEE NA KUWAKEMEA MAFISADI KWA MAMLAKA ULIYO PEWA NA MWENYEZI na MASHEHE NAO WAFANYE HIVYO HIVYO KUINUSURU NCHI YETU TUSIISHIE MADHABAHUNI TU
 
Unafiki wa viongozi wa dini kama wakina Pengo niwa kuogopa sana. Pale kanisa lake na wasaidizi wake walipokuwa wanampigia debe Slaa kuwa huyu ni mwenzetu yeye alikuwa wapi? na mie ni shuhuda wa hilo kwa nilikuwa live kanisani . PENGO ACHA UNAFIKI LISAFISHE KANISA KWANZA !

wacha umbeya tutajie kanisa alipohubiri hayo tarehe na muda na hatua ulizo chukua tuachie propaganda chafu! unakula bila kunawa?
 
mkuu utacheka sana akiiweka kwenye mayai

Pengo aliongea lugha ambayo waTZ wengi wanaongea NAMUOMBA AENDE HATUA MOJA MBELE KAMA YOHANA MBATIZAJI ALIYE MKEMEA HEROD SASA YUKO PEPONI AWAENDEE NA KUWAKEMEA MAFISADI KWA MAMLAKA ULIYO PEWA NA MWENYEZI na MASHEHE NAO WAFANYE HIVYO HIVYO KUINUSURU NCHI YETU TUSIISHIE MADHABAHUNI TU
 
Waungwana watu wa staili/aina ya Malaria Sugu si wakubishana nao.Utaonekana kama mwedawazimu kama unathubutu kujibu pumba za mwedawazimu.
Kama inafikia mahali Mtu mzima anaweza kulinganisha masuala ya kimahaba na ufisadi wa kuibiwa rasilimali zetu mtu wa aina hii ni sawa na mwendawazimu na hasa anaetembea uchi wa wa kuzaliwa.
 
nilishangaa sana mapadri na maaskofu walivyotishia kumwaga damu pale alivyoanza kuchokonolewa mkapa kuhusu ufisadi alioufanya akiwa ikulu. Ilifikia mahala kauli nzito kama hizo zinatolewa katika ibada za mazishi.
kwa kweli sikujua uhusiano wa viongozi wa kikristo na mkapa. Naomba msaada wana jf.
 
salaama aleikhum. Nafikiri unazidi kutuaibisha sisi waislamu kwa kauli zako za udini. Na unaiaibisha sana dini yetu ya kiislamu kwa chuki zako dhidi ya jamaa zetu wakristo,dini yetu ni ya mapendo. Huwezi ku post bila kuweka chuki???? Hawa wakristo kweli ndugu yangu mbele ya macho yako hawana jema, hujawahi kusaidiwa na mkristo? Au kama sio wewe jirani yako au ndugu yako hajawahi kusaidiwa na hao wakristo????!!!!! Please acha hiyo tabia haijengi
mbona pengo ndio aliosema kuwa ccm ni kichaka cha majambazi wakati mkapa akiwa raisi? Au umesahau kuwa kmapa ni mkristo tena ni mkatoliki.
Kaka hatuwezi kujenga jamii nzuri ya tanzania kwa kuangalia dini ya mtu, angalia point ipi na usiangalie katoka dini gani au chama gani au kabila gani.
Masaalamu

tukiwa na watz 10%kama wewe wanaojenga umoja bila kufikiria dini wala kabila Tz ingesimama vizuri. Ila kwa sasa tutaogopa kuongea mana kila ukiongea kukemea utahusishwa na udini. Hata tusingefika hapa jamvin kumsema m2 kwa udini ila kuna wenzetu hapa wanakera mkuu,kwa nini yeye na dini,dini na yeye? TZ mwanzo haikuwa na dini hizi mbili lakini kuwepo basi zimeshatugawanya,nasikitika sana. Jaman imani ni muhimu lakini isiathiri ya mwenzio. Mkuu naheshimu ushauri wako.
 
nilishangaa sana mapadri na maaskofu walivyotishia kumwaga damu pale alivyoanza kuchokonolewa mkapa kuhusu ufisadi alioufanya akiwa ikulu. Ilifikia mahala kauli nzito kama hizo zinatolewa katika ibada za mazishi.
kwa kweli sikujua uhusiano wa viongozi wa kikristo na mkapa. Naomba msaada wana jf.

wakati fulani wakasema...mwacheni mzee apumzike..Unakumbuka alitoa nani kauli hii? Ni yule aliyesema ...ukitaka kula lazima uliwe!unataka kula bila kuliwa,haiwezekeni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom