Asante Chiefm Tz
Mbona hajamkemea Padri Slaa kwa wizi wa mke wa mtu? au huo si uovu! Kama anaiba mtu mwenzie angekwenda ikulu si hazina angeikausha? Bwana pengo wizi wa mke wa mtu pia ni ufisadi mbaya ukemee tukusikie
salaama aleikhum. Nafikiri unazidi kutuaibisha sisi waislamu kwa kauli zako za udini. Na unaiaibisha sana dini yetu ya kiislamu kwa chuki zako dhidi ya jamaa zetu wakristo,dini yetu ni ya mapendo. Huwezi ku post bila kuweka chuki???? Hawa wakristo kweli ndugu yangu mbele ya macho yako hawana jema, hujawahi kusaidiwa na mkristo? Au kama sio wewe jirani yako au ndugu yako hajawahi kusaidiwa na hao wakristo????!!!!! Please acha hiyo tabia haijengihongera mh pengo. Lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. Na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. Zinduka
Hongera mh Pengo. lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. zinduka
mkuu utacheka sana akiiweka kwenye mayaiHahahahah can you rephrase the same in English?
Asante Chiefm Tz
Mbona hajamkemea Padri Slaa kwa wizi wa mke wa mtu? au huo si uovu! Kama anaiba mtu mwenzie angekwenda ikulu si hazina angeikausha? Bwana pengo wizi wa mke wa mtu pia ni ufisadi mbaya ukemee tukusikie
Huyo mchumba wa Slaa ni mtu mzima kwa hiyo alikuwa na uwezo wa kukubali au kukataa kuanzisha urafiki na Slaa, yeye aliamua kuwa rafiki. Kwa upande mwingine, mafisadi wanabaka mali ya watanzania kupitia kutotii viapo vyao vya kazi na ahadi watailinda katiba ya jamhuri. Zaidi ya hapo wanapora mali asili na fedha za nchi kupitia nafasi na nyadhifa zao. Kalamazoo, angalia hizo tofauti ubainishe kuwa kuanzisha urafiki na mke wa mtu ni tofauti kabisa na ufisadi utokanao na kudharau kiapo cha kazi na kuiba mali ya umma, na mara kwa mara kwa gharama ya kudidimiza huduma zitolewazo. Athari za ufisadi utaziona kwa watoto kurundikana darasani, wamekaa chini hjawana waalimu, wagonjwa kulazwa wawili hata watatu kitanda kimoja bila kujali aina ya magonjwa, barabara kutokamilika, mrahaba wa wachimba dhahabu wa asilimia tatu wakati Botswana hapo jirani ni asilimia 45. Ufisadi ni tatizo la kiuchumi lakini la kupoka mke wa mtu ni la kisosholojia!!
[COLOR=red said:Malaria Sugu;1339641]Hongera mh Pengo. lkn mbona huwa mankemea pale rais anapokuwa muislam tu. na huwa kimya mkiona rais ni mkiritso. zinduka[/COLOR]
Gazeti la Mwananchi la leo linatupasha habari ya kuwa kinyume na wanasiasa wachovu ndani ya CCM ambao wamekuwa wakitumia msamiati wa udini ili kuzuia raia kukemea maovu kwenye jamii, Mheshimiwa Kardinali Pengo ametoa tamko kuwa kukemea uovu siyo udini...
Hii tafsiri imekuja wakati muafaka kwani kwenye chaguzi hii iliyokwisha baadhi ya makada wa CCM wenye kukabiliwa na tuhuma nzito za ufisadi wamekuwa wakitumia kauli mbiu ya udini ili kuzima mijadala nyeti ya kitaifa dhidi ya matendo yao na hivyo kudhoofisha uwajibikaji serikalini...
Unafiki wa viongozi wa dini kama wakina Pengo niwa kuogopa sana. Pale kanisa lake na wasaidizi wake walipokuwa wanampigia debe Slaa kuwa huyu ni mwenzetu yeye alikuwa wapi? na mie ni shuhuda wa hilo kwa nilikuwa live kanisani . PENGO ACHA UNAFIKI LISAFISHE KANISA KWANZA !
Mi nadhani JK mwislam alitakiwa amudabishe Edward Lowassa mkristo kisha amschape Basil Mramba mkristo baada ya hapo amfuate mwislam mwenzake Rostam kisha kwa Chenge Mkristo, amtafute Mkapa mkristo amuulize nini issue ya kiwira bila jibu zuri mahakamani mtu kama Daniel Yona na Mgonga badaye Meghji, huku akituondolea takataka kama Makongoro Mahanga, Steve Wasira wakristo kwenye hii serikali lakini naona JK muoga na mdini anakimbilia kusema taifa lipo kwenyeTATIZO la udini. nilidhani alitakiwa kusema taifa limeingia kwenye tatizo kubwa la ufisadi lakini matokeo yake anawachekea na kuwaombea kura ili wale wote pamoja. Makamba = MS
Asante Chiefm Tz
Mbona hajamkemea Padri Slaa kwa wizi wa mke wa mtu? au huo si uovu! Kama anaiba mtu mwenzie angekwenda ikulu si hazina angeikausha? Bwana pengo wizi wa mke wa mtu pia ni ufisadi mbaya ukemee tukusikie
mkuu utacheka sana akiiweka kwenye mayai
Unafiki wa viongozi wa dini kama wakina Pengo niwa kuogopa sana. Pale kanisa lake na wasaidizi wake walipokuwa wanampigia debe Slaa kuwa huyu ni mwenzetu yeye alikuwa wapi? na mie ni shuhuda wa hilo kwa nilikuwa live kanisani . PENGO ACHA UNAFIKI LISAFISHE KANISA KWANZA !
mkuu utacheka sana akiiweka kwenye mayai
salaama aleikhum. Nafikiri unazidi kutuaibisha sisi waislamu kwa kauli zako za udini. Na unaiaibisha sana dini yetu ya kiislamu kwa chuki zako dhidi ya jamaa zetu wakristo,dini yetu ni ya mapendo. Huwezi ku post bila kuweka chuki???? Hawa wakristo kweli ndugu yangu mbele ya macho yako hawana jema, hujawahi kusaidiwa na mkristo? Au kama sio wewe jirani yako au ndugu yako hajawahi kusaidiwa na hao wakristo????!!!!! Please acha hiyo tabia haijengi
mbona pengo ndio aliosema kuwa ccm ni kichaka cha majambazi wakati mkapa akiwa raisi? Au umesahau kuwa kmapa ni mkristo tena ni mkatoliki.
Kaka hatuwezi kujenga jamii nzuri ya tanzania kwa kuangalia dini ya mtu, angalia point ipi na usiangalie katoka dini gani au chama gani au kabila gani.
Masaalamu
nilishangaa sana mapadri na maaskofu walivyotishia kumwaga damu pale alivyoanza kuchokonolewa mkapa kuhusu ufisadi alioufanya akiwa ikulu. Ilifikia mahala kauli nzito kama hizo zinatolewa katika ibada za mazishi.
kwa kweli sikujua uhusiano wa viongozi wa kikristo na mkapa. Naomba msaada wana jf.