Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
It's an abstract weaponry. Any feeble politician will seek to realize its potent by practically unleash it. The one who propgate it is our prime suspect and in same order all who will follow suit. Threats! Vernom!

There's a looming danger in Tz. There's a scant vacuum at top echelon. The lines in leadership are fast derailed. Just observe and analyse things & events. Try to read the what is untold and you get message more clear.
 
Thats why someone once said....... Religion is like wine.... Some drink it and become wise, other drink it and become mad.....
 
Siku za hivi karibuni propaganda ya udini inaenezwa kila sehemu hasa ccm wanaitumia sana. CCM hujifanya wanapinga lakini ndani yake wanaieneza. Swali la msingi je wewe mwananchi wa kawaida udini umekusaidia nini?

Mimi ninachokiona unaweza ukatendewa mabaya na mtu wa dini yako kabisa na uanaweza ukatendewa mazuri na mtu wa dini tofauti na wewe, na kinyume chake inawezekana.

Hebu fikiria mtu wa dini yako alivyo na ufanisi mbovu katika ofisi ya umma na wakati mwingine umemsifu mtu wa dini tofauti na wewe kwa ufanisi wake wa kazi.

Sifa hizo umezitoa kwa uwazi au kimoyomoyo, Ukitaka kulifahamu hili fuatilia mabosi wa ofisi mbalimbali za umma utangundua wema na wabaya wapo kila upande. Hivyo basi kwangu mimi dini yako haiwezi kukuepusha na mateso ya bosi dhalimu kwani kama ni maumivu ni yetu sote.

Huenda hawa vigogo wanaitumia hii propaganda kuficha ukweli ili akikosolewa atafute huruma ya watu wa dini yake kwamba ninaandamwa kwa sababu mimi ni mrkristo au mimi ni muislaamu.

Ninawaomba wananchi tuamke tuachane hizi propaganda za kijinga, hu ni mchango wangu kadri ninavyoyaona mambo, ninakuuliza tena udini umekusaidia nini?
 
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. Na hakuna yeyote ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. NAWASILISHA.
 
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk nchi ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yangu, yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. Na hakuna yeyote mwenye ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. NAWASILISHA.
 
point hapo kwenye nyekundu.

Dini zimeongeza madhara duniani badala ya amani. Dini zimekuwa chimbuko la vita na mateso ya binadamu baada ya vita. Dini zimeshindwa kupunguza maovu duniani zimebaki kugombania tofauti za imani na dini nyingine.
 
na tukisema tuanze kufichua maovu ya kila dini pamoja na historia zao jinsi zilivyo anza naamini kabisa kuna wana jf watamuombe MOD, atu fukuze humu jamvini. Nasisitiza ya kwamba watu waweke uzalendo mbele na kufikiri njia sahihi za kuinusuru tanganyika(spendi kutumia tanzania) yetu dhidi ya ufisadi, ujinga na umasikini uliokithiri. Aksanteni.
 
Mimi binafsi hili suala la udini linanikera sana na kwa kiasi kikubwa limeniathiri sana. My first girl friend who I love the most was Christian, na japo siwezi usemea moyo nae alinipenda sana na tulifikia muafaka wa kufunga ndoa, sasa hapo ndipo tabu na hizi ideology za udini zikaanza. mama ya huyu msichana alikataa kata kata binti yake asiolewe nami hadi ni provide written document kuonesha kuwa our marriage if will go through will be one husband one wife marriage, kwa sababu waislam tunaruhusiwa kuoa wake hadi wanne. kwa kuwa nilimpenda huyu binti niliandika barua iliyokuwa signed na mashahidi wanne nikithibithisha kuwa ndoa yetu itakuwa ya mke na mumue mmoja, lakini yule mama hakuridhika akataka eti ndoa yetu tufungie kanisani, nikasema enough is enough hata kama nimependa lakini sasa this is extreme! For that reason I hate people who are advocating mambo ya udini yaani manabii wa udini I can call them!
 
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. na hakuna yeyote ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. Nawasilisha.

ushahidi huu hapa : Qur'an 3:19
 
pole sana bro kwa kumkosa uliempenda eti kisa dini, its the matter of time, mi nadhani sisi ndio wenye wajibu wa kuwabadilisha watu kifikra na kuwafanya wajue haki na wajibu wao ktk jamii na sio kulumbania ujinga wa dini tena zililetwa na wageni ambao hawakua na nia nzuri na matokeo yake wakaleta mgawanyiko kwa watu. Jamani kwanini hatutaki kujifunza kutokana na historia?
 
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk nchi ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yangu, yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. Na hakuna yeyote mwenye ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. NAWASILISHA.

TAFADHALI JENGA HOJA BINAFSI NA USITHIBITISHE JAMBO AMBALO HUNA ELIMU NALO. DINI SAHIHI NI MFUMO SAHIHI AMBAO MUNGU MUUMBA AMAWAONGOZA WAJA WAKE NA AKAWAPENDELEA NA AKATIMILIZA NEEMA ZAKE KWAO. SI CHAGUO LA MWANADAMU TU.

USHAHIDI MWINGINE HUU HAPA : QUR'AN 5:3
"Today, the disbelievers have given up concerning (the eradication of) your religion; do not fear them and fear Me instead. Today, I have completed your religion(ISLAM), perfected My blessing upon you, and I have decreed Submission (ISLAM) as the religion for you".
 
mimi binafsi hili suala la udini linanikera sana na kwa kiasi kikubwa limeniathiri sana. my first girl friend who i love the most was christian, na japo siwezi usemea moyo nae alinipenda sana na tulifikia muafaka wa kufunga ndoa, sasa hapo ndipo tabu na hizi ideology za udini zikaanza. Mama ya huyu msichana alikataa kata kata binti yake asiolewe nami hadi ni provide written document kuonesha kuwa our marriage if will go through will be one husband one wife marriage, kwa sababu waislam tunaruhusiwa kuoa wake hadi wanne. Kwa kuwa nilimpenda huyu binti niliandika barua iliyokuwa signed na mashahidi wanne nikithibithisha kuwa ndoa yetu itakuwa ya mke na mumue mmoja, lakini yule mama hakuridhika akataka eti ndoa yetu tufungie kanisani, nikasema enough is enough hata kama nimependa lakini sasa this is extreme! For that reason i hate people who are advocating mambo ya udini yaani manabii wa udini i can call them!

huna tofauti na dr. Slaa. Mzinifu! Kijukuu cha ibilisi!!
 
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. Na hakuna yeyote ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. NAWASILISHA.

ushahidi huu hapa : Qur'an 3:19

Ushahidi huu hapa: John (Yohana) 14:6 ("I am the way, and the truth, and the life. No one comes to the Father except through me")
 
Mjadala mzuri ila mmeona wenyewe hata hapa jf tayari maajenti wa udini wanaendelea kuvuruga mjadala maana wanaona "mradi "wao tumeushtukia,TUWAPUUZE ili mwisho wajikute peke yao na rais wao na spika wao
 
ninavyojua mimi ni kuwa Afrika hatuna dini ya kusema ni ya kwetu, Uislamu ni dini ya Waarabu na Ukristo ni dini ya Wazungu. Ninavyojua ni kuwa Uislamu na Waarabu ulituumiza sana enzi za utumwa na Ukristo na wazungu ulituumiza sana kwani ulitumika kutunyamazisha waafrika na kuwa nyenzo muhimu ya kueneza ukoloni. Binafsi nilisoma seminari miaka kadhaa ila sina sababu ya kuukashifu uisilamu japo sipendi na sitanyamaza pale dini yangu itakapokashifiwa. Nimeishi na Waisilamu zaidi ya miaka 10 na sijaona tatizo lolote.Kuepuka matatizo ya udini ni kutozungumzia dini kabisa,tuwaachie viongozi wetu!!
 
Kwa nini tuwaachie waop tu katika hili je kama wanatupotosha? au ndio kusema hakuna kiongozi mbaya. ni sehemu hiyo tu yenye nyekundu inahitaji ufafanuzi zaidi
 
Udini umesaidia kuweka watu madarakani.
2005 jk alitumia wakristo wakasema jk ni chaguo la mungu na kusema lipumba na cuf ni waislamu
2010 wakristo wamemkimbia jk kwa sababu ya mahakama ya kadhi na kumutaka slaa na hili ndo tatizo
 
TAFADHALI JENGA HOJA BINAFSI NA USITHIBITISHE JAMBO AMBALO HUNA ELIMU NALO. DINI SAHIHI NI MFUMO SAHIHI AMBAO MUNGU MUUMBA AMAWAONGOZA WAJA WAKE NA AKAWAPENDELEA NA AKATIMILIZA NEEMA ZAKE KWAO. SI CHAGUO LA MWANADAMU TU.

USHAHIDI MWINGINE HUU HAPA : QUR'AN 5:3
"Today, the disbelievers have given up concerning (the eradication of) your religion; do not fear them and fear Me instead. Today, I have completed your religion(ISLAM), perfected My blessing upon you, and I have decreed Submission (ISLAM) as the religion for you".

Theks
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom