Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
Ndiyo waziri mkuu muislam alikuwepo naye ni Dr. Salim Ahmed Salim kutoka Zanzibar.
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. Na hakuna yeyote ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. NAWASILISHA.
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. na hakuna yeyote ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. Nawasilisha.
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk nchi ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yangu, yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. Na hakuna yeyote mwenye ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. NAWASILISHA.
mimi binafsi hili suala la udini linanikera sana na kwa kiasi kikubwa limeniathiri sana. my first girl friend who i love the most was christian, na japo siwezi usemea moyo nae alinipenda sana na tulifikia muafaka wa kufunga ndoa, sasa hapo ndipo tabu na hizi ideology za udini zikaanza. Mama ya huyu msichana alikataa kata kata binti yake asiolewe nami hadi ni provide written document kuonesha kuwa our marriage if will go through will be one husband one wife marriage, kwa sababu waislam tunaruhusiwa kuoa wake hadi wanne. Kwa kuwa nilimpenda huyu binti niliandika barua iliyokuwa signed na mashahidi wanne nikithibithisha kuwa ndoa yetu itakuwa ya mke na mumue mmoja, lakini yule mama hakuridhika akataka eti ndoa yetu tufungie kanisani, nikasema enough is enough hata kama nimependa lakini sasa this is extreme! For that reason i hate people who are advocating mambo ya udini yaani manabii wa udini i can call them!
thanks for question my dear, kwa upande wangu nimezaliwa na wazazi wasomi sana(phd) baba na mama, baba ni mkristo na mama ni muislam,in my life sikuwahi sikia waki argue bout it hata siku moja.jpili baba alikua eidha anakwenda kanisani au ana chukua bible yake pamoja na novel inayoitwa mother's earth and father's sky pia friday mum anakwenda kusali ijumaa pia during ramadhani mum anafunga na dady ana respect na wala haleti pombe nyumbani kabisa, kwenye eid mum ana andaa chakula na kuwaalika ndugu zake muslims na wote kwa pamoja tunasherekea, my sister n my young brother ni waislam wazuri tu. Personaly nilisoma qur,an yote pamoja na vitabu vya fiqh na nahau,baada ya hapo nilienda seminary nikakutana na bible knowledge na divinity, then nilipoenda chuo kikuu havana cuba nikakutana na socialism na maxism sikusita kusoma na kuelewa in details,from there naishi ktk ya watu wasio ulizana wala kujali sana mambo ya dini. Maoni yeyote anaeleta udini ktk mambo nyeti na hakika ana ufaham mdogo sana wa dini pamoja na kukosa msingi imara. Kwangu mimi naamini kua dini mfumo wa maisha ambao watu huchagua kufuata kiimani. Na hakuna yeyote ushahidi wa kutosha dhidi ya dini yake kua ndio ya kweli, hivyo tuache ujinga wa udini na tujenge nchi,kwani sijaona faida yake zaidi ya madhara makubwa. Yangu ni hayo tu, kwa sasa. NAWASILISHA.
ushahidi huu hapa : Qur'an 3:19
Kwa nini tuwaachie waop tu katika hili je kama wanatupotosha? au ndio kusema hakuna kiongozi mbaya. ni sehemu hiyo tu yenye nyekundu inahitaji ufafanuzi zaidininavyojua mimi ni kuwa Afrika hatuna dini ya kusema ni ya kwetu, Uislamu ni dini ya Waarabu na Ukristo ni dini ya Wazungu. Ninavyojua ni kuwa Uislamu na Waarabu ulituumiza sana enzi za utumwa na Ukristo na wazungu ulituumiza sana kwani ulitumika kutunyamazisha waafrika na kuwa nyenzo muhimu ya kueneza ukoloni. Binafsi nilisoma seminari miaka kadhaa ila sina sababu ya kuukashifu uisilamu japo sipendi na sitanyamaza pale dini yangu itakapokashifiwa. Nimeishi na Waisilamu zaidi ya miaka 10 na sijaona tatizo lolote.Kuepuka matatizo ya udini ni kutozungumzia dini kabisa,tuwaachie viongozi wetu!!
TAFADHALI JENGA HOJA BINAFSI NA USITHIBITISHE JAMBO AMBALO HUNA ELIMU NALO. DINI SAHIHI NI MFUMO SAHIHI AMBAO MUNGU MUUMBA AMAWAONGOZA WAJA WAKE NA AKAWAPENDELEA NA AKATIMILIZA NEEMA ZAKE KWAO. SI CHAGUO LA MWANADAMU TU.
USHAHIDI MWINGINE HUU HAPA : QUR'AN 5:3
"Today, the disbelievers have given up concerning (the eradication of) your religion; do not fear them and fear Me instead. Today, I have completed your religion(ISLAM), perfected My blessing upon you, and I have decreed Submission (ISLAM) as the religion for you".