Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Du!! Nimeupenda huu mjadala kwa sababu hauna matusi kama ya baadhi ya mashabiki wengine wa dini. Endeleeni
 
Udini kama upo upo
Hapa nilipo Kuanzia mjumbe wangu,Mtendaji wa kijiji, diwani,mwenyekiti wa halmashauri, mbunge, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri mkuu, makamu wa rais na rais. mmoja tu ndio mkristu.sasa nitakosaje kuamini kuwa udini upo.
 
taifa linaenda pasipo dira na kama kuna wanadini ni wakati wao wa kusali na kujaribu kuokoa kilicho mbele kwani mawakala wa makampuni ya silaha nadhani wameanza kutangaza silaha zao na matumizi yake

tanzania uliachwa na nyerere umepotea , tunahitaji chaguo la mungu atayelinusulu taifa hili kwenye machafuko
 
mjadala wa kijinga na hauna mshiko! ina maana kama vyombo vya Minaki vinapikia nguruwe havioshwi? na unapoenda kula hotelini (5 stars) kama Muislam ina maana hivyo vyombo havitumiwi ku-serve nguruwe? na isitoshe Wakristo hawana haki kula nguruwe in public kwa vile kuna Muislam? Na hiyo OIC kwa nini isifungue ubalozi basi Tanzania kama Vatican kuliko kuwaweka watanzania wasio Waislam katika kundi la nchi za Kiislam?
 
Kitu Wananchi wengi (Waislamu na Wakristo)Tunafahamu Tanzania Imejengwa na Wakristo na Waislamu na Asilimia Ndogo Wasio na Dini. Below Facts

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious groups

Tunafahamu Mpaka Leo Hii Tunaendelea Kusikia the Same Urguments, Kwamba Waislamu Wanaonewa na Matakwa Yao Tanzania ni Tofauti na Watanzania Wengine. Hizi Unwinnable Urguments Zitawapeleka Wapi? Wananchi Wengi Tanzania Wana Ndugu Waislamu na Wakristo, Hizi Arguments Zitawahusu Vipi Wao? Demographic ya Tanzania Haikubaliani Kabisa na Hizi Poor and Weak Arguments. Vijana, Wazee na Wazazi Wetu Wengi Wanataka Tanzania Strong na Sio Tanzania Weak. Tanzania Strong ni Low Unemployment, No Corruption, Equal Opportunities, Great Education na the Best Healthcare in the World. Hizi Ideologies za Katiba ya Matakwa ya Waislamu Zimetoka Wapi? Usawa Wanauzungumzia ni Upi? Leo Serikalini Kuna Waislamu na Wakristo Kila Mahali na Zaidi JK si Muislamu? Kitu Kimoja Hatari ni Hii Asilimia Ndogo ya Waislamu Kugeuka Kuwa Radicals.

Hizi Weak and Radical Ideologies Hazitafanikiwa Kamwe....

Tanzania in Figures - People

 
Waache waendelee kubwabwaja huku wakiendelea kunywa kahawa na kashata. Wazee wa ubwabwa na pilau huwa siwashangai wanapoibuka na vihoja visivyo na mbele wala nyuma. Marehemu Dr. Omari A. Juma Makamu wa Rais hakuwa anawaficha kitu. Kuna wakati aliwaambia kwamba tatizo lao la msingi ni 'shule' kwa hiyo wakazane kusomesha watoto wao ili wawe kama wakristo. Whether they like or not, this is the fact. Viongozi wao wengi tena wa ngazi za juu wameishia elimu ya madrasa tofauti na ilivyo kwa wakristo ambapo pamoja na elimu ya dini, kiongozi anakuwa na elimu ya dunia ya kiwango cha juu. Sasa unatarajia nini wakati pande hizi mbili zinapo-argue??? This explains why their arguments in most cases have no substance.
 

No mkulu
Sijaipenda hiyo observation, hao wanaozungumza hayo, hawazungumzi kwa niaba ya waislamu wote.

Tuache huku kusigana kusipokuwa na maana yeyote kwetu kama taifa, for the greater good of this country let us continue our fight for KATIBA MPYA , wasitutoe kwenye mada hawa. Mkianza kulumbana udini hapa, mnawapa wanachokitaka.
 
No mkulu
Sijaipenda hiyo observation, hao wanaozungumza hayo, hawazungumzi kwa niaba ya waislamu wote.

Tuache huku kusigana kusipokuwa na maana yeyote kwetu kama taifa, for the greater good of this country let us continue our fight for KATIBA MPYA , wasitutoe kwenye mada hawa. Mkianza kulumbana udini hapa, mnawapa wanachokitaka.

Nimeikubali hii argument yako imeenda shule Mkuu
 

Safi kwa hili.
 
Those are baseless claims which cannot be proven scientifically.People must learn to do at least a simple collection of facts (research) before saying anything to the public.Otherwise such indiscriminate claims will be derided as mere absolute lies aimed at causing public confusion, and divisive elements within our society.
 

Nimekupata mkuu. Unajua wakati mwingine mtu unapandwa na jazba.
 

Hamna cha kuongea kila siku ni hayo hayo.....hawana elimu... ooo sijui nini!
Safari hii hakuna kulala mpaka Katiba mpya itajumuisha yafuatayo:

Mgawo wa madaraka sawa kwa Waislamu na Wakristo!,
Tume huru ya uchaguzi yenye uwiano wa kidini!
Mgombea binafsi kuanzia urais mpaka serikali ya kijiji!
Vilabu vya pombe na madanguro mwisho saa 2 usiku!
Marufuku kuuza kitimoto maeneo wanaoishi Waislamu wengi!
Ushoga kuwa kosa la jinai!
Atakae mbaka mtoto ktk taasisi za kidini atahasiwa na kufungwa jela zaidi ya miaka25!
Mahakama ya kadhi!
Vyama vya siasa vyenye mrengo wa kidini kama vile Islamic Progress Party, Christian Democratic Party, Tanzania Hindus Party,nk, ruksa!
......nitakuja na mengi baadae!
 

Kwenye nyekundu wezentu wanaosema wamesoma sana wamekubuhu, sijui ndio wafundishwayo.
Rudi mkuru twakusubiri
 
Wana laana hawa, walimpongeza aliyempiga kibao rais mstaafu !
 
Inabudi kuangalia ndani zaidi kwa maana hii roho ya ndugu zetu katika Adam kila msingi wa ukristo Uislamu unapinga!; Nimeanza kuamini hakika kwamba bila ukristo kuwepo uislamu usingekuwepo hebu tafakari mafundisho haya

Mungu wa ukristo anasema usiabudu MUNGU mwingine ila mimi

Mungu wa uislamu anasema HAKUNA MUNGU isipokuwa ALLAH na Muhammad mtume wake!

Ukristo Unaamini kwamba wakiishi kiadilifu hapa dunia wameandaliwa pepo ambayo wataishi kama malaika!

Uislamu wao Unaamini pepo/sardausi yao iko hivi
1watapata wanawake 70(mahul)ambao wana ****** ft40 macho kama vikombe kiuno kama nyigu na dhakari haita sinyaa baada ya tendo la ndoa!
2 kuna mito ya ulevi kwa wanywao.....na mola atawapa samahani!....

Fundisho jingine
Ukristo Unaamini kwamba wao ni WANA wa Mungu!

Uislamu Unapinga kwa mafundisho ya Q-al-karim Allah anasema Inayumkinikaje awe na mwana hali hana mke? pia allah anasema Wayahudi na Wakristo WAANGAMIZWE kwa itikadi ya uwana wa Mungu

Ukristo Unaamini Yesu kafa na kufufuka!

Uislamu Unapinga kwamba Yesu hawakumuua wala kumsulubu!

Ukristo Unafundishwa USIAPE KWA VILIVYOPO DUNIANI WALA MBINGUNI!

Uislamu unasema sivyo naapa kwa farasi waendao mbio kuna kiapo cha ajabu ambapo Allah anaapa kwa aliye umba kiume na kike!

Mafundisho karibu yote ya kikristo uislamu unayapinga Hii ni ROHO YA UISLAMU Msishangae leo haya yanayotokea Hapa kwetu na duniani!
 
Hii ni janja ya CCM kuacha kuzungumzia katiba na kuanza kuzungumzia Udini ambao haupo, Mkuu anaposhindwa kuongoza anatafuta cha kuongelea kwa kuwatumia hawa, ndio maana hakuna hata shehe Mmoja anakemea Ufujaji wa Dowans maana inamtesa mkuu, hata katiba bado inamtesa maana CCM itafia mikononi mwa makamba na Mkulu
 
Wana JF,hebu nisaidieni hvi hawa maaskofu na masheikh wanaopondana kwa maslah ya wanasiasa tuwafanyeje? wananikera sana!
 
Laana zako zianzie kwenye shina, Magogoni (White House), kisha teremka kwenye matawi, right?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…